Thursday, 7 August 2014

ORODHA YA MAJINA YALIOPATA SKOLASHIPU KWENDA KUSOMA CHINA HAYA HAPA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

SELECTED STUDENTS TO STUDY IN CHINA
                                 
                      
The Ministry of Education and Vocational Training is glad to inform the General Public that the People’s Republic of China has granted Scholarships to the following students to study in China for the Academic Year 2014/2015 


Kama kawaida yetu tutapenda kuwapata taarifa kuwa tutawaagalizia wote wanaotaka kuangaliziwa majina yao kwa kutuma jina lako kwenda  0768260834,usisahau kutuma tsh.100 ya huduma.
Share:

Wednesday, 6 August 2014

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOOMBA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 CHETI NA DIPLOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG Tunapenda kuwapa taarifa kuwa tunawaomba muendelee kutembelea blog hii mara nyingi muwezavyo kwani siku si nyingi tutaweka majina ya wanafunzi ambao watakuwa wamechaguliwa na vyuo mbalimbali vya ualimu 2014/2014 pamoja namafunzo ya stashahada Mara tu Wizara itakapoyarusha hewani kwani wafanyakazi wa blog hii ni makini sana na wapo updated sana katika kuhakikisha wanakuletea kitu roho inapenda.

Hivyo basi tuakuomba ulike page yetu ya facebook IJULIKANAYO KWA JINA LA MATUKIO YA WANAVYUO na tunakuomba umwambie na mwenzako kuwa ATEMBELEE MASWAYETU BLOG kwa ushauri,habari na matangazo mbalimbali yahusuyo maisha ta kila siku.

Endapo tukipata tetesi tutakujulisha au unataka kuuliza kuhusu kitu chochote tafadhali tembelea MASWAYETU BLOG  au wasiliana na mmiliki wa blog hii pendwa kwa simu namba 0768260834 nawe utajibiwa bila tatizo.

Wako katika kazi yenye ufanisi INNOCENT-THE BLOGGER BOY.
Share:

MACHANGUDOA ZAIDI YA 20 WAKAMATWA WAKIWA WANAJIUZA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

BAADHI ya akinadada wanaofanya biashara haramu ya kujiuza katika maeneo ya Jiji la Dar, wameeleza kuwa licha ya kupewa kashikashi na jeshi la polisi na wakati mwingine kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hawawezi kuiacha ‘kazi’ hiyo kutokana na ugumu wa maisha.

Share:

AJIRA ZA POLISI MWAKA 2014 KW AWHITIMU WA ELIMU YA JUU ,FANYA APPLICATION MAPEMA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                Kataa Uhalifuu
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza azma hii waombaji watajaza kikamilifu na wataambatanisha vivuli vya vyeti vyao na kutuma Makao Makuu ya Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31.08.2014 kwa anuani ifuatayo:
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S. L. P. 9141,
DAR ES SALAAM
 Waombaji wawe na taaluma zifuatazo:
Shahada: Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology].
Share:

Tuesday, 5 August 2014

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari za wakati huu ,asanteni sana kwa kuendelea kutembela blog hii ya maswayetu blog ,Kama kawaida yetu kuwajali watembeleaji wa blog yetu,Leo tumewaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa  vyuo mbalimbali vya afya 2014/2015.

Tafadhali bonyeza hapo chini kuangalia jina lako
BOFYA HAPA

Share:

TAARIFA KWA UMMA toka CUF: YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY.

TAARIFA KWA UMMA

YAH:
KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.

Tafadhali husika na somo hapo juu.


Mtakumbuka kuwa Chama chetu kwa kushirikiana na vyama vingine vinavyoounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) tuliamua kutoka katika Bunge maalum la Katiba baada ya CCM kuamua kukiuka utaratibu wa mchakato wa kupata katiba mpya kama ulivyoainishwa katika sheria ya mabadiliko ya Katiba na kuweka Mkakati wa kupitisha Rasimu ya CCM ya serikali mbili.


Pamoja na juhudi ambazo tumeendelea kuzifanya kama Chama na UKAWA, hadi sasa bado CCM wanaonekana hawana dhamira ya dhati ya kuurejesha mjadala wa Katiba Mpya kwa kuheshimu maoni ya wananchi kama yalivyoratibiwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kuwekwa katika Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa katika Bunge Maalum.
Share:

Monday, 4 August 2014

JENGO LA BODI YA MIKOPO LILILO MAENEO YA MWENGE LAWAKA MOTO,JE KUNA USALAM WA FEDHA ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU?

    INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                        
 
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinadai jengo jipya la bodi ya mikopo lililo maeneo ya Mwenge jjini Dar es salaam limewaka moto, taarifa hiyo inasema wafanyakazi wa Zima moto walijaribu kuuzima moto huo ambao umeshaunguza baadhi ya vyumba vya maofisi. 
Wanafunzi wa elimu ya juu hasa hawa walioomba vyuo mwaka huu 2014/2015 wameshtushwa na taarifa hii kwani wanahofia  uwezekano pia wa kupotea kwa documnts zao ambazo walikuwa wameshaomba  mkopo.
Share:

HII NDIO LIST YA WASANII WATAKAO FANYA SHOW KWENYE FIESTA MWANZA. 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Share:

Sunday, 3 August 2014

SEKRETARIETI YA AJIRA AGUST 1 :ANGALIA ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZIN NA ,AJIRA MPYA

                                                 INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                     
Na. EA.7/96/01/G/51 01 Agosti, 2014
KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 18
hadi 21 Juni, 2014 waliofaulu usaili husika mchakato wa kuwapangia vituo
vya kazi umekamilishwa. Orodha ya majina yao ni kama yanavyoonekana
katika Tangazo hili. Orodha hii inajumuisha pia baadhi ya wasailiwa
waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa
vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Share:

UFAFANUZI KUHUSU ORODHA MPYA MAJINA WANAFUNZI KIDATO CHA V 2014,TULIYOITOA HUMU MNAMO TAR.31 JULY

 INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mnamo tarehe 31 tuliweka majin ya vijana waliochaguliwa kwa mara nyingine kujaza nafasi zilizoachwa wazi.


Kwanza nipende kusema mimi sifanyi kazi Wizarani ,kani mimi ni mmiliki wa blog ya MASWAYETU ambae nimeweka hayo majina kutoka TAMISEMI.

Pili nipende kusema kuwa tangu nilipoyaweka hayo majina kuna watu wamepiga simu wanasema ni ya uongo kwani hawayaoni TAMISEMI,napenda kusemamajina hayo nimeyatoa tamisemi,na hadi sasa nimeshaangalizia watu kam 70 wapi wamepangwa kawani walikuwa hawajpata taarifa.
Tatu,tangazo hilo la orodha mpya kutoka TAMISEMI linasomeka hivi. 
 ORODHA MPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014



Share:

Saturday, 2 August 2014

FORM SIX 2014:UKWELI KUHUSU VIWANGO VYA UFAULU HUU HAPA,DIVISION I-7 MWAKA HUU NI SAWASAWA NA DIVISION II YA MWAKA JANA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya maswayetu inakuletea mchanganuo wa viwango vya ufaulu mwaka huu kwa matokeo kidato cha sita   2014.
Lengo la serikali hii ni kutaka kumfanya kila mwanafunzi afanyapo mtihani basi matokeo yakitoka ajione amefaulu.
Uhalisia ni kwamba mwaka jana mtu kwa mfano ukipata DIV III-13 wewe ni mtata kwelikweli lakini leo hii mtu ana division III-13 anakuwa na mawazo ya kusoma medicine.
Kiukweli wadogo zangu maisha hayapo hivyo na ifuatayo chini ndio reality ya viwango vya ufaulu ukicompare na miaka iliyopita.

2014
2013-MIAKA YA NYUMA

DIVISION I-7

DIVISION II-12

DIVISION II-8

DIVISION III-13

DIVISION II-9

DIVISION III-14

DIVISION III-10

DIVISION III-15

DIVISION III-11

DIVISION III-16

DIVISION III-12

DIVISION III-17

DIVISION III-13

DIVISION IV 18

Share:

SHULE ILIYOONGOZA KITAIFA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 YAONGEZEWA WANAFUNZI 207,BAADA YA HAPO AWALI KUWA NA WANAFUNZI 57.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG shule ya kidato cha sekondari igowole iliyopo mjini iringa imeongezewa wanafunzi takribani 207 baada ya hapowali kuwa na wanafunzi wapatao 30 kidato cha tano na 27 kidato cha sita.
Share:

Friday, 1 August 2014

NJIA TISA ZITUMIWAZO SANA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI/BODABODA SOMA HAPA KUJIEPUSHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                  Image result for BODABODA

Kama kawaida yetu maswayetu blog leo inakuletea kitu kipya ,hizi ndo mbinu nilizozipata kwa wadau ambazo wezi huzitumia kuiba boda boda;

1. Kutumia gari
Hapa jamaa wanakuja na roli kubwa au dogo kisha wanapakia kama yao kisha kutokomea wanakojua wao. Hii haijarishi ka umeiloki ilimradi tu imepaki ambapo huioni.

2. Mtu wa karibu
Aweza kuwa mke, mme,rafiki, jirani au mgeni, anakusoma unalala saa ngapi then wanakuja usiku kitu kinaibiwa.

3. Wizi magetini
Hapa jamaa wanawasoma wale wanaolaza pikipiki getini. Wanaruka ukuta na waya au kamba za manira the wa ndani wanainyanyua then wa nje wanaivuta.

Share:

HOTUBA YA MH.RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE JULY 31 2014, KUBWA ZAIDI ALILOONGLEA NI KUHUSU BUNGE LA KATIBA LTAKALOANZA SIKU SI NYINGI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for BODA KIKWETE
Kubwa alilozungumzia ni Bunge la Katiba linaloanza tena wiki ijayo.

Ni ndefu sana naangalia namna ya kuwaletea kwa muhtasari au kuleta yote kama ilivyo

HINTS ZA HOTUBA
- Bunge la katiba linajadili RASIMU YA TUME na sio vinginevyo. Wanaosema Bunge halijadili rasimu ya Tume ya Warioba ni Wazushi.

- Sheria inaeleza kuwa Tume inapaswa kuandaa RASIMU ya KATIBA na Bunge la katiba linapaswa kuandika KATIBA INAYOPENDEKEZWA. Kwahiyo Bunge linafanya kazi yake kikamilifu.

- Huwezi kutunga Katiba inayopendekezwa bila kufanya Mabadiliko. Bunge la Katiba lazima lifanye mabadiliko na linaruhusiwa kisheria ili kutekeleza jukumu lake la kutunga katiba inayopendekezwa.

- UKAWA hawana sababu ya msingi ya kutoka au kususia Bunge

- Bunge litaendelea na theluthi mbili ndio itaamua hatma ya Katiba inayopendekezwa na kisha wananchi wataamua kupitia kura ya maoni


Utangulizi

Ndugu wananchi;
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu nchi yetu. Mwezi wa Saba tunaoumaliza leo ulikuwa na matukio mengi baadhi yakiwa makubwa na kushtusha na mengine yalikuwa matukio ya kawaida.

Mashambulio ya Mabomu

Ndugu Wananchi;
Tarehe 3 Julai, 2014 na tarehe 07 Julai, 2014 kulitokea mashambulizi ya mabomu nyumbani kwa Sheikh Sudi Ally Sudi na katika mgahawa wa Vama kwa mfuatano huo. Kabla ya hapo, kulikuwa na matukio mengine matatu: Kanisa la Olasiti tarehe 5 Mei, 2012, Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA tarehe 15 Juni, 2013 na Baa ya Arusha Night Park tarehe 13 Aprili, 2014. Hali kadhalika, tarehe 13 Juni, 2014 kulitokea shambulizi la mabomu katika eneo la Darajani, Zanzibar.

Share:

SABABU KUBWA ZA WANAFUNZI WENGI KUKOSA MIKOPO NA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU BAADA YA KUFANYA APPLICATION

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 Habari zenu kwanza kabisa wakubwa mliozaliwa kuanzia 1993 mwezi wa kumi na moja kurudi nyuma Shikamooni na wadogo zangu mliozaliwa kuanzia 1994 hamjambo?

Leo napenda kuzunguzia sababu kubwa zinazowafanya wanafunzi wengi wanaooma mikopo kukosa  na wale wanoomba vyuo kukosa;

Kwanza kabisa katika experience yangu niliyonayo sababu zifuatazo zinaweza kukufanya  ukose mkopo wa chuo kikuu;

1.KUFORGE SAHIHI
2.KUFORGE MIHULI
3.KUKOSEKANA KWA DOCUMENT MUHIMU KAMA birth  certificate,form 4 results,parents identification.
4.KUWA MWONGO WAKATI WA KUJAZA DETAILS mfano unaulizwa una wazazi/UNAJIBU HAPANA KUME UNAO.
5.KUCHELEWA KUFANYA AAPLICATION
Share:

Thursday, 31 July 2014

ORODHA MPYA YENYE MAJINA TAKRIBANI 324 KIDATO CHA TANO 2014/205 YALIOONGEZWA BAADA YA NAFASI KUPATIKANA ,ANGALIA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa yafanya uchaguzi wa wanafunzi kidato cha tano awamu ya pili 2014/2015,hii inawahusu vijana 16,000 waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano awamu ya kwanza ilipotangazwa.

kama ilivyo desturi yetu ya blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE LOGSPOT Tunapenda kutoa msaada kwa wanafunzi au watu watakaohitaji kuangaliziwa majina yao kama wamechaguliwa awamu ya pili 2014/2015
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger