Friday, 1 August 2014

HOTUBA YA MH.RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE JULY 31 2014, KUBWA ZAIDI ALILOONGLEA NI KUHUSU BUNGE LA KATIBA LTAKALOANZA SIKU SI NYINGI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for BODA KIKWETE
Kubwa alilozungumzia ni Bunge la Katiba linaloanza tena wiki ijayo.

Ni ndefu sana naangalia namna ya kuwaletea kwa muhtasari au kuleta yote kama ilivyo

HINTS ZA HOTUBA
- Bunge la katiba linajadili RASIMU YA TUME na sio vinginevyo. Wanaosema Bunge halijadili rasimu ya Tume ya Warioba ni Wazushi.

- Sheria inaeleza kuwa Tume inapaswa kuandaa RASIMU ya KATIBA na Bunge la katiba linapaswa kuandika KATIBA INAYOPENDEKEZWA. Kwahiyo Bunge linafanya kazi yake kikamilifu.

- Huwezi kutunga Katiba inayopendekezwa bila kufanya Mabadiliko. Bunge la Katiba lazima lifanye mabadiliko na linaruhusiwa kisheria ili kutekeleza jukumu lake la kutunga katiba inayopendekezwa.

- UKAWA hawana sababu ya msingi ya kutoka au kususia Bunge

- Bunge litaendelea na theluthi mbili ndio itaamua hatma ya Katiba inayopendekezwa na kisha wananchi wataamua kupitia kura ya maoni


Utangulizi

Ndugu wananchi;
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu nchi yetu. Mwezi wa Saba tunaoumaliza leo ulikuwa na matukio mengi baadhi yakiwa makubwa na kushtusha na mengine yalikuwa matukio ya kawaida.

Mashambulio ya Mabomu

Ndugu Wananchi;
Tarehe 3 Julai, 2014 na tarehe 07 Julai, 2014 kulitokea mashambulizi ya mabomu nyumbani kwa Sheikh Sudi Ally Sudi na katika mgahawa wa Vama kwa mfuatano huo. Kabla ya hapo, kulikuwa na matukio mengine matatu: Kanisa la Olasiti tarehe 5 Mei, 2012, Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA tarehe 15 Juni, 2013 na Baa ya Arusha Night Park tarehe 13 Aprili, 2014. Hali kadhalika, tarehe 13 Juni, 2014 kulitokea shambulizi la mabomu katika eneo la Darajani, Zanzibar.

Share:

SABABU KUBWA ZA WANAFUNZI WENGI KUKOSA MIKOPO NA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU BAADA YA KUFANYA APPLICATION

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 Habari zenu kwanza kabisa wakubwa mliozaliwa kuanzia 1993 mwezi wa kumi na moja kurudi nyuma Shikamooni na wadogo zangu mliozaliwa kuanzia 1994 hamjambo?

Leo napenda kuzunguzia sababu kubwa zinazowafanya wanafunzi wengi wanaooma mikopo kukosa  na wale wanoomba vyuo kukosa;

Kwanza kabisa katika experience yangu niliyonayo sababu zifuatazo zinaweza kukufanya  ukose mkopo wa chuo kikuu;

1.KUFORGE SAHIHI
2.KUFORGE MIHULI
3.KUKOSEKANA KWA DOCUMENT MUHIMU KAMA birth  certificate,form 4 results,parents identification.
4.KUWA MWONGO WAKATI WA KUJAZA DETAILS mfano unaulizwa una wazazi/UNAJIBU HAPANA KUME UNAO.
5.KUCHELEWA KUFANYA AAPLICATION
Share:

Thursday, 31 July 2014

ORODHA MPYA YENYE MAJINA TAKRIBANI 324 KIDATO CHA TANO 2014/205 YALIOONGEZWA BAADA YA NAFASI KUPATIKANA ,ANGALIA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa yafanya uchaguzi wa wanafunzi kidato cha tano awamu ya pili 2014/2015,hii inawahusu vijana 16,000 waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano awamu ya kwanza ilipotangazwa.

kama ilivyo desturi yetu ya blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE LOGSPOT Tunapenda kutoa msaada kwa wanafunzi au watu watakaohitaji kuangaliziwa majina yao kama wamechaguliwa awamu ya pili 2014/2015
Share:

HADI MWANAFUNZI ALIESOMA" PCB" 2014 -MWENYE DIVISION 4 ANA SIFA ZA KWENDA CHUO KIKUU NA KUZOMMEA MEDICINE,HII INAKUINGIA AKILINI?

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,kwanza kabisa napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wadau wa blog hii na watembeleaji bora wa matandao huu unaowapa raha kila siku kwa kuleta vitu vipya vipya.

Leo napenda kuzungummmzia utaratibu wa TCU katika udahili w awanafunzi mwaka huu,Tcu wamesema kuwa kama ulikuwa kwa mafano na CCD mwaka huu basi nisa wa kabisa na DDE kwa miaka iliyopita na nikihesabu hizo point tayari una point 5 amabazo zinakuruhusu kusoma kozi yoyote chuo kikuu,JE MWENYE DIV 4  anaweza chaguliwa chuo kikuu?
Share:

Wednesday, 30 July 2014

TAARIFA MUHIMU KWA FORM SIX WOTE 2014:JINSI YA KUJUA KAMA UPO ELIGIBLE AU NOT ELIGIBLE KWA MNAOFANYA APPLICATION TCU

                   INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari zenu Kwa mara nyingine tena;

Napenda kutoa elimu ndogo san na muhimu kuijua kwani nahisi kati ya waliokuwa kumi bora kujua hiki kitu wakati nilipokuwa nafanya application ya TCU miaka michache iliyopita.

Ukimaliza kuchagua kozi zako kwa kujaza CODE za vyuo Tafadhalai ili ujue na utambue kuwa hiyo kozi umekidhi vigezo click maramoja kwenye checking in progress then subiri itakujibu NO or YES.
Share:

FORM SIX KAMA ULISOMA KATI YA COMBINATION HIZI PCB,PCM,PGM,HKL,HGL,EGM &CBG HII INAKUSU,SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU leo kwa mara nyingine napenda kuwashauri kidato cha sita juu ya kozi za kujaza endapo utahitaji ajira za moja kwa moja utakapomaliza chuo;
Kwa waliosoma ;

1.PCB
-kama ulisoma PCB na unaufaulu mzuri namaanisha kozi tajwa hapo chini zinaushindani katika admission hivyo basi kwa mafano MEDICINE wanataka Pts 5 hivyo basi jitahidi uwe na kuanzia pts 5.5 ndo unaweza chukuliwa, tafadhali chagua kati ya zifuatazo; MEDICINE,ENGINEERING,PHARMACY,NURSING,FOOD SCIENCE &TECHNOLOGY,AGRONOMY,AGRI GENERAL,ANIMAL SCIENCE,LAB SCIENCE, &HUMAN NUTRITION.

2.PCM
-ENGINEERING(sikushauri ujaze kila kozi ya engineer si zote ni nzuri),FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY,ARCHTECTURE,GELOGY & MEDICINE kwa KCMC.
Share:

Tuesday, 29 July 2014

VIONGOZI WA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP AWAONDOLEA MASHTAKA, NI KATIKA SAKATA LA VIUNGO VYA BINADAMU.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                       
 Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner. 
 

Share:

MH.KAWAMBWA,JENISTA MHAGAMA,MAJALIWA,MH RAIS KIKWETE TAFADHALI INGILIENI KATI SUALA LA PESA YA FIELD ,WANAFUNZI WANA WIKI TYA TANO HAWAJUI WAPI PA KULA,KULALA WANAISHIA KUKACHA VIPINDI,KWANI “PESA YA FIELD N BOMU LITAKALOLIPUKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA” NAWAOMBA MUWALIPE WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU inayokupa habari mbalimbali zitokeazo hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Leo napenda kuzungummzia suala la kuchelewa kwa pesa ya field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 2014/2015;

Kwanza kabisa napenda kuishauri serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa inajipa wakati mgumu kuja kuzima bomu litakalolipuka mda wowote,bomu hilo linahusu kutokuwalipa wanafunzi wa mwaka huu pesa yao ya field.
Share:

Monday, 28 July 2014

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 28/07/2014,KUBWA ZAIDI LIPUMBA NA WASSSIRA WATAKA KUZICHAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MKE WA MBUNGE KUUA HOUSE GIRL_MBUNGE CYRIL ATOA UFAFANUZI ,SOMA HAPA MKASA MZIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Mimi Dr Cyril August Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) napenda kueleza masikitiko yangu kwa taarifa za uzushi na za kutunga kuwa eti mke wangu asiye na jina amemuua mfanyakazi wetu Mwislamu kwa sababu "marehemu" alikataa kwenda kanisani.

Mimi sina mfanyakazi wa jina hilo la Mariamu. Wala sina mfanyakazi mwenye umri wa miaka 16. Hatuna tatizo lolote la mfanyakazi yeyote kupigwa, achilia mbali kuuawa.

Share:

Sunday, 27 July 2014

ELIMU YA BURE JINSI WANAVYO HESABU CUTT OF POINT ZA MASOMO YAKO KATIKA UCHAGUZI WA KOZI MBALIMBALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blo hii ya maswayetu blog,log pendwa ndani na  nje ya nchi,Leo ninaleta mada fupi katika uhesabuji wa cutt of point katika uchaguzi wa kozi mbalimbali za vyuo vikuu.

Kwanza kabisa kabla kuanza kutoa elimu hiyo hapa napenda kuwapa pole na pongezi vijana wa kidato cha sita waliokuwapo jeshini kwa kupewa wiki moja ya kurudi nyumbani kufanya application ya vyuo mbalimbali.Najua kule mlizoea JAMBO ila karibuni mtaani salam ni MAMBO,wazi?,Mada hii nimeleta rasmi kwa ajili yenu nyie mliokuwapo jeshi.

CUTT OF POINT za vyuo vikuu huwa wanahesabu kama ifuatavyo.
Share:

MAJINA YA WALIMU DIPLOMA YALIOONGEZWA KWENDA JKT KAMBI YA MAKUTUPORA NA MGAMBO JKT SEPTEMBER 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG ,Kutokana na jeshi la kujenga taifa kutangaza majina ya walimu wanaotakiwa kuripoti jkt september 2014,Blog hii iliweka list hiyo ya walimu na vikosi walivyopangwa kutoka website ya JKT lakini katika kufatilia zaidi tumegundua kuwa kuna ongezeko la majina ya walimu katika kambi tajwa hapo juu.  


Kama kawaida ya uongozi wa blog hii unapenda kuwapa msaada kwa wale wote watakaotaka kuangaliziwa majina yao kama

Share:

Saturday, 26 July 2014

UBORA WA VYUO VIKUU MBALIMBALI NA KOZI NZURI ZITOLEWAZO NA VYUO HIVYO


INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA YA YOTE  NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS WHY NILIWASHAURI KWAMBA KAMA UNA MASHAKA NA MAKSI ZAKO CHAGUA EDUCATION.
 
Leo siku njema ya jumamosi napenda kuwaletea mada juu ya vyuo vikuu vilivyopo tanzania na kozi  wazitoazo;
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 26/07/2014,KUBWA ZAIDI MBOWE NA SITTA WAINGIA VITANI


INNOCENT-THE BLOGGER-BOYDSC01162
Share:

Friday, 25 July 2014

SHEHE AWAVAA WEMA, DIDA NA DIAMOND: KISA WAWEKA KAUNTA ZA POMBE MAJUMBANI MWAO KIPINDI HIKI CHA MFUNGO...AWAPA MAKAVU LIVE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

KIJANA AMBAAE KINARA WA KUBAKA,KULAWITI NA KUTOBOA MACHO WATOTO SHINYANGA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kushoto ni kijana aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka,kulawiti na kutoboa macho watoto
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 25/07/2014,KUBWA BUNGE LAKATIBA LAOTA MBAWA

04_d79f2.jpg1_ba461.jpg
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger