Saturday, 13 November 2021

VIJANA WASHINDWA KUOA KWA SABABU YA 'KUINJOY' HUDUMA YA MAKAHABA

...


Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe, Eva Steshen

Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara iliyofanywa na kamati ya UKIMWI iliyobaini kuwepo kwa madanguro na madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo wakasema hawatowafukuza bali wamewawekea mpango wa kuwapatia elimu ya ujasiriamali wasichana hao pamoja na kuwapatia mikopo kama mitaji itakayowawezesha kuachana na vitendo vya ukahaba.

Chanzo - EATV
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger