HR World Limited on behalf of our reputable client (Sunflower Oil Extraction & Refining Plant Manyoni Singida) we are looking for well-qualified and experienced candidates to fill up the advertised vacancies as soon as possible. Kindly read Job Description on the website carefully before applying , only qualified candidates experienced in edible oil/food manufacturing Industry […]
The post Job...
Tuesday, 30 June 2020
WATU WANNE WAUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA MGODINI KAHAMA

Picha hauhusiani na habari hapa chini
Na Mwandishi wa Malunde 1 blog
Wafanyakazi wanne wa kiwanda cha uchenjuaji wa madini ya dhahabu(Plant) katika Mgodi mdogo wa Ntambalale, kijiji cha Wisolele Kata Segese Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,wameuawa na mmoja kujeruhiwa kwa kucharangwa...
PROF. MAKUBI AIPONGEZA TMDA KUZINDUA TOLEO JIPYA LA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA

Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa mkataba wa huduma kwa Wateja toleo la Nne wa TMDA, Kulia ni Kaimu Mkurgenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wizara (MAB) kwa TMDA, Eric Shitindi. Hafla iliyofanyika 29 Juni jijini...
Picha : MRADI WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO KATIKA KIPINDI CHA CORONA WAZINDULIWA SHINYANGA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Mhe. Hoja Mahiba akizungumza wakati akizindua Mradi wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto katika Kipindi cha Mlipuko wa Homa Kali ya Mapafu ‘COVID - 19’
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga...
Waziri wa Viwanda ,Innocent Bashungwa Amuagiza Mkurugezi Wa TBS Kuwafukuza Kazi Wafanyakazi Wanaokwamisha Zoezi La Utoaji Nembo Za Ubora Kwa Wakati.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwafukuza kazi wafanyakazi wa shirika hilo wanaowatoza fedha na wanaochelewesha zoezi Kutoa nembo ya ubora kwa bidhaa zinazotengenezwa kwenye Viwanda vidogo nchini.
Waziri Bashungwa...
Msajili: Vyama Vyote Vina Haki Sawa Kushika Dola

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imesema ruzuku sio kigezo cha Chama Cha Siasa kuwa na nguvu ya kushika dola na vijenge hoja na ushawishi itikadi yake kwa wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba mwaka...
Serikali Yafanikiwa Kuokoa Shilingi Tirioni 11.4

Na. Dennis Buyekwa- OSG
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi Tirioni 11.4 baada ya kushinda mashauri mbalimbali yaliyoendeshwa katika Mahakama mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Hayo yamezungumzwa mapema leo na Naibu...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Avitaka Vyuo Vya Mafunzo Ya Kilimo Vihuishe Mitaala ili iendane na mahitaji ya nchi

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya amewaasa Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo vya Serikali na Binafsi Wanawajibu wa kuhuisha mitaala ya mafunzo ili iendane na mahitaji ya nchi ya sasa ambayo ni kuandaa wataalam ili wazalishe kwa tija kulingana na uchumi wa viwanda.
Katibu...
Waziri wa Fedha Dkt. Mpango: Sijaridhishwa Na Eneo Lilipojengwa Soko La Kimataifa Kigoma

Na Josephine Majura, Peter Haule-KIGOMA
WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, kutafuta eneo jipya, kubwa, lenye hadhi ya kujengwa soko la Kimataifa badala ya eneo linapojengwa Soko la Kimkakati la Kimataifa la Mnanila,...
Waziri Kigwangalla Azungumza Na Balozi Wa China, India Na Umoja Wa Ulaya Kuelezea Utayari Wa Tanzania Kupokea Watalii.

Na. Aron Msigwa – WMU.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania iko tayari kupokea watalii kutoka China, India na mataifa mengine ambayo yameruhusu raia wake kusafiri nje ya nchi zao.
Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati akizungumza kwa...
Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna ya Kuyajibu

Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.
Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali unayoulizwa na watu ambao wamekuzunguka wakati wa kufanyiwa usaili.
Njia moja ya kuzuia hii kutokea...
Rais Magufuli Arejesha Fomu za Kugombea Urais Kupitia CCM....Wanachama Zaidi ya Milioni 1 wa CCM wamdhamini

Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa chama cha Mapinduzi, CCM wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais Magufuli katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Hayo yameelezwa leo Jumanne tarehe 30 Juni 2020 makao makuu ya...