Serikali yarejesha kwa awamu ya pili Watanzania 192 waliokuwa wamekwama nchini India kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19.
Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha...
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWA
Age-18+
Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
Akaning’inizwa hewani huku mikono yake ikiwa imechanuliwa mithili ya Yesu alivyo sulubiwa msalabani. Wapelelezi hao wakamwagia maji mwilini mwake, kisha mmoja wao ahachukua nyaya mbili za umeme, zenye hasi na...
SALVATORY NTANDU
Imebainishwa kuwa shughuli za uchimbaji wa Madini ya Dhahabu katika Machimbo mbalimbalI ya dhahabu Wilayani Mbogwe mkoani Geita unachangia kwa kiasi kikubwa katika uharibifu wa Misitu iliyohifadhiwa kutokana na ukatiji holela wa magogo yanayotumika katika ujenzi wa Maduara...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani.
Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa katika ziara ya siku moja kutembelea Viwanda katika Mkoa huo. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu na...
Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa wa COVID-19 (corona) katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Katika taarifa ya leo Jumapili, wizara hiyo imesema aliyeaga dunia ni dereva wa lori mwenye umri wa miaka 65 na ambaye alikuwa amerejea nchini humo hivi karibuni...
Spika mpya wa Bunge la Iran Mohammad Ghalibaf amesema leo majadaliano yoyote na Marekani hayatokuwa na manufaa na badala yake mkakati wa Iran unapaswa kuwa wa kulipa kisasi na siyo mazungumzo.
Ghalibaf, kamanda wa zamani wa kikosi cha anga katika jeshi la walinzi wa mapinduzi ametoa matamshi...
Je Wewe ni MWANASIASA, MFANYABIASHARA,
MSANII wa Maigizo, MWANAMZIKI, ama MWANAFUNZI tunazo dawa na PETE za BAHATI zenye uwezo mkubwa wa Kuyabadilisha MAISHA yako nakukupatia MAFANIKIO MAKUBWA ndani ya mda mfupi tu.
Hapa Leo tutazungumzia Pete zenye Bahati na power yani nguvu za ziada...
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo kuhusu ziara...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo ambalo nikinyume na sheria za nchi.
IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani...
Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja
Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko makubwa ni lile la kupunguza mikusanyiko, kukabaribiana na wengine kuathiri mipango ya safari.
Bahati nzuri teknolojia ya mawasiliano...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dr. Evamarie Semakafu, ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro, kukagua maandalizi ya kuwapokea wanafunzi tarehe 01 Juni 2020, kufuatia tamko la hivi karibuni la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli...
Zaidi ya shule 200 nichini Korea Kusini zimelazimika kufunga tena shule siku chache baada ya kufunguliwa, kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.
Mapema Jumatano, melfu ya wanafunzi walirejea shuleni baada ya kufunguliwa tena nchini humo na kulegeza masharti yaliyowekwa awali kukabiliana...
Na Magreth Kinabo –Mahakama
Mahakama ya Tanzania imefanikiwa kuendesha mashauri 4,711 kwa njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama ‘Video Conference’ ikiwa ni hatua mojawapo za kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 1 9 katika...
Na Munir Shemweta, WANMM TARIME
Serikali imewatahadharisha wananchi wa kijiji cha Komarera kata ya Nayamongo Tarime Vijijini mkoani Mara kuacha tabia ya kufanya maendelezo maarufu kama Tegesha katika eneo linalotaka kuchukuliwa na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara kwa shughuli za uchimbaji madini.
Tahadhari...
Na. Edward Kondela
Serikali imesema inataka kuona uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya wafugaji na wavuvi kupitia mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ili kuyaongezea thamani mazao yanayotokana na sekta za mifugo na uvuvi.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani...
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWA
Age-18+
Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
“Yaani sijui kwa nini uliaolewa na yule mzee”
“Ahaa ni maisha tu. Tumefika baba yangu”
Mrs Sanga alizungumza huku akisimamisha gari lake nyuma ya gari la Tomas alilo liacha kwenye maegesho...