Mchezaji wa gofu, Brigedia Msaafu, Julius Mbilinyi, akipiga mpira wa gofu wakati wa mashindano ya wiki ya gofu yaliyoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Zantel na kufanyika katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mchezaji wa gofu, Nathan Mpangala, akipiga mpira wa gofu wakati wa mashindano ya wiki ya gofu yaliyoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Zantel na kufanyika katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment