Korea kaskazini imerusha makombora 2 ya masafa mafupi katika bahari ya mashariki.
Taarifa zilizotolewa na jeshi la Korea kusini inasema majaribio ya makombora mawili yalifanyika mashariki mwa Korea kaskazini.
Makombora hayo yaliyofikia kimo cha kilomita 48 baada ya kusafiri umbali wa kilomita 400 yalianguka bahari ya mashariki.

0 comments:
Post a Comment