Baba Mtakatifu Francis amekubali ombi la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kustaafu rasmi nafasi yake ya Askofu Mkuu Jimbo la Dar Es Salaam.
Nafasi hiyo itachukuliwa na Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwai'chi kuendelea kuongoza Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment