Friday, 14 June 2019

PICHA: Rais wa DRC Felix Tshisekedi Alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa Nchini Tanzania Akiwa na Rais Magufuli

...
Jana June 13, 2019 Rais Dkt.Magufuli alimwandalia mgeni wake Felix Tshisekedi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo   keki ya Birthday akimpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini Tanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger