Natumaini kwamba kila mtu anajua maana ya blog na website,sitazungumzia sana hili swala,leo nitazungumzia kuhusu upatikanaji wa traffics(vistors)kwenye blog yako kupitia search engines.
Search engines ni nini?
A web search engine is a software system that is designed to search for information on the World Wide Web.Kuna aina mbalimbali za search engines ,hizi hapa,
-BING
-YAHOO
-BAIDU
-YANDEX
Kaa ukitambua kwamba kuna aina mbalimbali za upatikanaji wa traffics katika blog yako,Organic(exaple google) na reffered(example facebook).
Leo nitazungumzia kuhusu upatikanaji wa traffics kupitia organic search-GOOGLE.
JINSI YA KUPATA TRAFFICS KUPITIA SEARCH ENGINES -GOOGLE
1st step
login kwenye blog yako kupitia www.blogger.com
2nd step
nenda kwenye setting
3rd step
bonyeza search and preference
4th step
Kwenye custom robots tick YES,baada ya hapo kitatokea kibox flani hivi ndani ya hicho kibox jaza robots code zifuatazo:
User-agent: *
Disallow:
Sitemap: http://www.maswayetublog.com/atom.xml?redirect=false&start-index=1&max-results=150
NOTE:Kwenye hiyo sitemap utaedit na kuweka blog yako.
Hapo inamaanisha kwamba user agent ni robot ambaye una mruhusu atembelee blog yako ili haiindex ndio maana ya Disallow au Allow/(hawa robot huwa wanasoma kinyume nyume ndio maana Disallow wanaiona kama Allow na Allow/ wanaiona kama disallow)
Baada ya kumruhusu huyo robot atembelee blog yako aje akague nini?ndio tunaweka hiyo sitemap ambayo inaonyeza idadi ya post ulizonazo kwenye blog yako.
example:
Sitemap: http://www.maswayetublog.com/atom.xml?redirect=false&start-index=1&max-results=150
Kwenye hiyo site utaedit na kuweka blog yako.
Hapo ataindex post zote kuanzia 1 maximum results ni 150,kwa hiyo kama una zaidi ya post 150 utaandika ma ifuatavyo,
Sitemap: http://www.maswayetublog.com/atom.xml?redirect=false&start-index=151&max-results=150
Kwenye hiyo site utaedit na kuweka blog yako.
5th step
Save pale chini.
6th step
Bonyeza overview,then angalia chini mkono wa kulia pembeni utaona sehemu wameandika open webmaster tool,bonyeza hapo.
7th step
Kama hujawahi kujisajili kitatokea kibox kitakuambia add your site,wewe andika blog yako mfano.www.maswayetublog.com then Add
8th step
Baada ya hapo Itaload na itafungua open serach console.
9th step
Ikashafungua angalia upande wa kulia kulia bonyeza sehemu walioandika CRAWL,then bonyeza site map then bonyeza add site map,Kitafungua kibox unachotakiwa rudi kule kwenye robot txt yetu tulipoisave then copy ifuatayo
atom.xml?redirect=false&start-index=1&max-results=150
Then ipaste kwenye sitemap then add,then fata maelekezo yatakayotokea hapo yanaeleweka.
10th step
UKIMALIZA STEP YA 9 ,TAYARI UTAKUWA UMESHA ISETT BLOG YAKO ILI IWEZE KUONEKANA KWENYE SEARCH ENGINES YA GOOGLE.
Ili sasa uamini kwamba blog yako inaonekana ,create post yoyote mpya mfano:Mbwa kachomwa kisu mtaa wa moroco,ipublish then fanya yafuatayo.
View ile post kwenye homepage copy link ya hiyo post then rudi kwenye webmaster tool(refer 6th step)
ikifunguka bonyeza crawl,then bonyeza fetch as google>kitatokea kibox then ipaste hapo >then futa kuanzia hapa kwenye ile link uliyopaste pale
http://www.maswayetublog.com/ kurudi nyuma kwa sababu tayari ipo pale kwenye kibox ,>then bonyeza fetch>crawl only this post>then submitt.
Wait dakika 1 nenda kweny www.google.com,Search mfano:mbwa aliechomwa kisu moroco,Post yako itaonekana ya kwanza.HONGERA UMEMALIZA KUIFANYA BLOG YAKO IONEKANE KWENYE SEARCH ENGINE.
NOTE:SWALA LA KUIFETCH KILA POST LAZIMA LIFANYIKE KILA SIKU ILI UWE COMPETENT KWENYE SEO
HII YA LEO NI PART ONE ,NAHITAJI COMMENTS ZENU BAADA YA HAPO NITAENDELEA ILI BLOG YAKO IWE YA KUTISHA ZAIDI KWENYE SEO KAMA MILLARD AYO,MPEKUZI,MALUNDE,MASWAYETU,NA YUVINUSM.
wako innocent the blogger boy(WWW.MASWAYETUBLOG.COM OWNER)
1 comments:
Mkuu naomba namba yako ninashida na SEO
Post a Comment