Friday 21 November 2014

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha na uhifadhi. Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori (WMA,s) Tanzania. WAJIBU NA MAJUKUMU Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili. SIFA NA UZOEFU. waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama ifuatavyo:- • Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika miwili (2) • Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi. • Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai. • Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua pepe: infor@honeyguide.org au anuaani ifuatayo. Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation, S.L.P 2657 ARUSHA. CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 19,NOVEMBA 2014

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la".
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…
Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la".
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, "Punguzeni jazba", akiwasihi wabunge kuwa serikali iko makini na inasubiri kwa hamu taarifa hiyo ili kila mtu hata yeye akibainika abebe msalaba wake, lakini akatahadharisha kuhusu umuhimu wa kuheshimu mihimili ya dola ikiwemo mahakama.
Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, (CHADEMA), akizungumza bungeni mjini Dodoma jana, wakati lile sakata la IPTL, linalogubikwa na akaunti iliyojichukulia umaarufu TEGETA ESCROW, lilipoibuka wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu. Wabunge wanataka "ngoma" ijadiliwe bungeni, licha ya kashfa hiyo kuwa tayari Mahakama Kuu ya Tanzania.
Mbunge wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, huyu ndiye aliyeibua kashfa ya akaunti ya Tegeta-Escrow.
Mbunge wa Iringa mjini, (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa akitoa mwongozo.
Mbunge wa kuteuliwa na Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akichangia.
Mbunge kijana, Esther Bulaya, (CCM) naye akichangia kuhusu kujadiliwa ripoti hiyo.
Mbunge wa Longido,(CCM), Lekule Laizer akichangia mada.

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo, (CCM), Samwel Sitta akitoa hoja.
Mbunge wa Kasulu mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali, ndiye aliyemchokoza Waziri Mkuu kuhusu ripoti hiyo kujadiliwa bungeni.
Mbunge wa Kahama (CCM), James Lembeli naye akichangia.
(Picha kwa hisani ya K-VIS Production)
AJIRA: HONEYGUIDE FOUNDATION MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha na uhifadhi. Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori (WMA,s) Tanzania. WAJIBU NA MAJUKUMU Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili. SIFA NA UZOEFU. waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama ifuatavyo:- • Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika miwili (2) • Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi. • Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai. • Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua pepe: infor@honeyguide.org au anuaani ifuatayo. Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation, S.L.P 2657 ARUSHA.

Make Money at : http://bit.ly/copy_win
MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha na uhifadhi. Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori (WMA,s) Tanzania. WAJIBU NA MAJUKUMU Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili. SIFA NA UZOEFU. waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama ifuatavyo:- • Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika miwili (2) • Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi. • Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai. • Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua pepe: infor@honeyguide.org au anuaani ifuatayo. Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation, S.L.P 2657 ARUSHA. CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 19,NOVEMBA 2014

Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger