Sunday 30 November 2014

BREAKING NEWZ:CHAMA CHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WANAOSOMA MASOMO YA FOOD SCIENCE AND HUMAN NUTRITION(TAFONUSA-SUA) CHAFANYA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA FIRST YEAR MWAKA WA MASOMO 2014-2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jana ilikuwa ni siku yenye furaha sana hasa kwa vijana wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu kufanya sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2014/2015.

Sherehe hiyo iliuzuriwa na mamia ya wanafunzi amabyo ilifanyikia katika hotel moja maarufu iliyopo hapa mjini morogoro ya Rose garden,ambapo kabla ya wanafunzi kujitupia ukumbini kulitanguliwa na michezo mbalimbali ambayo ilifanyika katika uwanya wa chuo kikuu cha sokoine iliyoanza mishale ya saa 3 asubuhi na kuisha mishale ya saa 7 mchana.


Michezo iliyochezwa na wanafunzi hao ni pamoja na kukimbiza kuku,mpira wa mikono,mpira wa miguu,kunywa soda ,na kula viazi ambapo washindi mbalimbali walipatikana na kupatiwa zawadi zao.
Sifa pekee ziende kwa wanafunzi wa MWAKA WA KWANZA ambao walifanikiwa kuchukua kombe hilo baada ya kwatoa wanafunzi wa mwaka wa tatu na mwaka wa pili.

ANGALIA PICHA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA SIKU HIYO YA JANA ILIVYOKUWA,PICHA ZOTE NA (MASWAYETU BLOG)






































































































Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger