Tuesday 4 November 2014

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA NNE WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA UALIMU NGAZI YA CHETI,SOMA HAPA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NG'WANZA TEACHERS COLLEGE CHUO PEKEE KINACHOPOKEA WANAFUNZI WA CHETI 2014/2015
Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG HII YA MASWAYETU leo tunawaletea taarifa njema kwa watu wote wanaotaka kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na wanataka kujiunga,basi Chuo cha NG'WANZA KILICHOPO MASWA SIMIYU ni chuo pekee kinachoendela kupokea wanafunzi wote waliokosa nafasi kujiunga na cheti kwa mwaka huu tafdhali wahi nafasi ni chache sana.

NOTE:Pia tunapenda kuwapa tahadhari kuwa HAKUTAKUWA TENA NA MAFUNZO YA CHETI HIVYO MDA HUU KWA SASA NDIO MDA PEKEE WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA CHETI KWA CHUO CHA NG'WANZA PEKEE.
FOR MORE INFORMATION WASILIANA NA MMILIKI WA BLOG HII.
Email:innocentlugano60@gmail.com
number:tutakupatia utaratibu thanks.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger