Monday 10 November 2014

MPYA:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOHAMISHWA MWEZI OCTOBER 2014

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TANGAZO:

                                   
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina ya watumishi
wa Umma waliohamishwa kwa VIBALI MAALUMU MWEZI OCTOBER 2014
katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini.
Aidha orodha ya watumishi waliohamishwa katika uhamisho wa kuanzia
Mwezi Feburuari 2012, Juni 2012, Desemba 2012, Juni 2013 na Desemba 2013


ambao mishahara yao imeshindwa kuhamishwa kutokana na sababu ya kwamba
hawaonekani katika orodha mtandaoni japokuwa wamekidhi vigezo nao pia
majina yao yamerushwa mtandaoni sasa.
Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa
kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.

ENADAPO UTATAKA KUANGALIZIWA JINA LAKO KUTOKA MASWAYETU BLOG TAFADHALI ITAKUBIDI ULIPIE TSHS.500 TU KAMA HUDUMA YA KUANGALIZIWA.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger