Monday 10 November 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA N A JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                               
                                
Habari yenu wadau wetu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG,elo tumewaletea majina ya  Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi baada ya usaili kukamilika,MASWAYETU BLOG tunaendela kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo unataka kujua kama umechaguliwa ;
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili kwenda namba 0768260834
    mfano.John paul(polisi 2014)

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utailipia
   kwa mpesa na tigo pesa  kwenda namba   
   0768260834,na tigo pesa 0653791475 .

3.Hutajibiwa hadi utume pesa ya huduma.
4.Tutakujibu ndani ya mda mfupi mara tu tutakapopokea pesa yako.
Maelekezo Muhimu.

  1. Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.
  2. Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili waandaliwe usafiri wa kuwapeleka Shule ya Polisi Tanzania tarehe 30/11/2014.
  3. Zoezi la usajili litaanza shuleni hapo tarehe 01/12/2014 hadi tarehe 15/12/2014. Atakaefika kuanzia tarehe 16/12/2014 hatapokelewa.
  4. Atakaeamua kuripoti kwa Kamanda wa Polisi ambako hakupangiwa atalazimika kujigharimia usafiri hadi Shule ya Polisi Tanzania mjini Moshi.
  5. Vijana hawa watalazimika kufika shuleni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
    1. Vyeti vyao vyote vya masomo( original Academic Certificates/Result slip pamoja na Leaving certificates) kidato cha Nne/Sita, Vyeti vya kuzaliwa (Original Birth certificates). Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
    2. Mashuka mawili rangi ya Bluu Bahari (light blue)
    3. Chandarua chenye upana futi tatu
    4. Nguo za michezo(Track suit nyeusi,Tshirt blue na Raba)
    5. Pasi ya Mkaa
    6. Ndoo moja
    7. Pesa za kulipia bima ya afya kiasi cha shilingi elfu hamsini na mia nne tu (50,400/=).
    8. Pesa kidogo ya kujikimu.
  6. Kwa mujibu wa kanuni za shule ya Polisi ni marufuku kufika shuleni na simu ya mkononi. Atakayepatikana na simu atafukuzwa shuleni hapo. Shule itaelekeza na kusaidia kufanya mawasiliano.
  7. Angalia orodha ifuatayo:Orodha ya kuitwa chuoni moshi 2014
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger