Sunday 16 November 2014

MPYA:HUYU NDIE MHITIMU BORA WA UDSM MWAKA 2014,ANA MIAKA 22,GPA YA 4.8

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.

Photo: Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.

Unalipi la kumwambia Mwanafunzi huyu?
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger