Sunday, 30 November 2014

BREAKING NEWZ:MKUU WA JKT ATOA ONYO KALI NA KUUTANGAZIA UMMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY TANGAZO MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) ANAUTANGAZIA UMMA YA KUWA KWA SASA HAKUNA MCHAKATO WOWOTE WA UANDIKISHAJI VIJANA WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA "KUJITOLEA" HADI ITAKAPOTANGAZWA.YEYOTE ANAYE TANGAZA,ANAYEUZA FORM ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA...
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ,TAREHE 30 NOVEMBER 2014,KUBWA ZAIDI MUHONGO,TIBAIJUKA,MASWI ,WEREMA WANG'OKA,KIKWETE AREJEA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:

BREAKING NEWZ:CHAMA CHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WANAOSOMA MASOMO YA FOOD SCIENCE AND HUMAN NUTRITION(TAFONUSA-SUA) CHAFANYA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA FIRST YEAR MWAKA WA MASOMO 2014-2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Jana ilikuwa ni siku yenye furaha sana hasa kwa vijana wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu kufanya sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2014/2015. Sherehe hiyo iliuzuriwa na mamia ya wanafunzi amabyo ilifanyikia katika hotel moja maarufu iliyopo hapa...
Share:

Friday, 28 November 2014

BREAKING NEWS- BUNGE LAAHIRISHWA USIKU HUU BAADA YA VURUGU KUTOKEA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Kumetokea mtafaruku bungeni Dodoma baada ya kutokea mvutano miongoni wa wabunge kuhusu viongozi wanaopaswa kuwajibika kutokana na sakata la Escrow. Baadhi ya wabunge hususani kutoak vyama vya upinzani wataka wahusika wawajibishwe ikiwemo kuachia ngazi,huku wale wabunge...
Share:

Wednesday, 26 November 2014

Taarifa maalum ya CAG kuhusu IPTL mikononi mwa PAC

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai leo ameikabidhi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC) taarifa ya Mkaguzu na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu fedha za IPTL na akaunti ya Escrow. Pichani ni  Naibu...
Share:

MPYA:TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIODAHILIWA IMTU,2014-15

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania  Taarifa Rasmi kwa Umma kuhusu Programu ya Pre-Entry ya Kutoka IMTU Itakumbukwa kuwa Tume ya Vyuo Vikuu katika kikao chake cha 52 cha tarehe 18 Machi 2011 iliamua kuwa kuanzia mwaka wa masomo 2011 / 2012 hakutakuwa tena...
Share:

HAYA NDIO YALIYOIRI BUNGENI LEO ASUBUHI,KUBWA ZAIDI WABUNGE WACHARUKA KUHUSU ESCROW

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014 Habari wakuu, Moja kwa moja kutoka bungeni Dodoma, leo tunaanza safari yetu yetu ya hitimisho kuhusu Escrow, japo kuna zuio la mahakama jana spika alisema bunge lina kinga na hakuna atakaezuia bunge lisijadili ripoti. Zitto pia amesema kamati ya PAC itawasilisha ripoti yake kama ratiba...
Share:

BREAKING NEWZ:Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni saa 11 jioni

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY...
Share:

Friday, 21 November 2014

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha...
Share:

Thursday, 20 November 2014

MPYA:ANGALIA NA DOWNLOAD VIDEO MPYA YA DIAMOND-NITAMPATA WAPI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY BONYEZA HAPA KUDOWNLOADBONYEZA HAPA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMO...
Share:

Sunday, 16 November 2014

MPYA:COLLEGE YA ENGINEERING SUA WAFANYA BONANZA,2ND YEAR WACHUKUA KOMBE BAADA YA KUWAFUNGA 3RD YEAR FAINALI KWA MIKWAJU 4-1

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MASWAYETU BLOG chini ya mmiliki halali INNOCENT THE BLOGGER BOY  ilikuwa makini kukuletea matukio yote ambapo Walioshikilia nembo hiyo iliyoandikwa COLLEGE OF ENGINEERING kutoka kushoto ni ENG.STIMA na wa kulia ni ENG.Maulid...
Share:

MPYA:HUYU NDIE MHITIMU BORA WA UDSM MWAKA 2014,ANA MIAKA 22,GPA YA 4.8

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani...
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFANIKIWA KUHAMA VYUO NACTE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY PUBLIC NOTICE TRANSFERS OF SELECTED APPLICANTS ON  BACHELOR PROGRAMS                                         The National Council for Technical Education (NACTE)...
Share:

Saturday, 15 November 2014

MAGAZETI YA LEO NOV 15/2014 UDAKU,MICHEZO NA KITAIFA,KUBWA ZAIDI WABUNGE WAITAKA SERIKALI, MKURUGENZI WA DAR ANG'OLEWE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY . Kama kawaidaMASWAYETU BLOG  inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo earn money a...
Share:

MPYA:MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Stori: Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya kumpongez...
Share:

Friday, 14 November 2014

BREAKING NEWZ:WALIOCHAGULIWA UDOM SPECIAL PROGRAMME KUSOMESHWA BURE HATA KAMA HUKUJAZA FORM ,UNATAKIWA KUWAHI CHUO MAPEMA ILI UJAZE FORM YA MKOPO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAHADA MAALUM YA ELIMU KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI CHUO KIKUU CHA DODOMA Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Stashahada Maalum ya Elimu kwa masomo ya Sayansi na Hisabati kuwa...
Share:

Wednesday, 12 November 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE NA WIZARA YA AFYA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                         Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015 Tunaendelea kutoa huduma...
Share:

Monday, 10 November 2014

HAPPY BIRTHDAY BROTHER MDUMA,MUNGU AKUJALIE MIAKA MINGI TELE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 09/10/2014 ambapo brother Mduma alikuwa na furaha ya ajabu baada ya kuzaliwa upya                                 ,na kuamua kufanya sherehe kwa kuwakaribisha...
Share:

MPYA:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOHAMISHWA MWEZI OCTOBER 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAATANGAZO:                                ...
Share:

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA N A JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                                                  Habari yenu wadau wetu wa blog hii pendwa...
Share:

Saturday, 8 November 2014

BREAKING NEWZ:UCHAGUZI MKUU TANZANIA FOOD AND NUTRITION STUDENTS ASSOCIATION(TAFONUSA) UMEMALIZIKA NA KUFANIKIWA KUPATA VIONGOZI WAPYA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Wanafunzi wa chuo kikuu cha SOKOINE  departiment ya FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY mapema leo hii wamefanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi watakaoongoza chama hicho mwaka wa 2014/2015. Katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi tano zilizigombaniwa ambazo ni MWENYEKITI,MAKAMU...
Share:

Thursday, 6 November 2014

MPYA:MOJA YA KIKAO CHA FOOD SCIENCE AND TECHNLOGY -SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE WAKIJADILI JAMBO

Mapema leo hii kulikuwa na kikao cha vijana wenye heshima ya pekee NCHINI HAPA TANZANIA vijana wa chuo cha KILIMO SOKOINE wanaosomea SAYANSI YA CHAKULA,Kuhusu mamabo yanayowahusu kama darasa,kilichofanyikia departiment ya ENGINEERING mnamo mida ya saa tisa arasili,na kujumuisha wajumbe takribani 98,mwaka...
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WAKUUWA MIKOA NA WILAYA WAPYA NA MIKOA/WILAYA WALIZOPELEKWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Taarifa kwa Vyombo vya Habari Uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa mikoa na makatibu wakuu wa wizara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu...
Share:

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YAONGEZA MAJINA MENGINE MENGI YA KIDATO CHA NNE WATAKAOJIUNGA SPECIAL PROGRAMME UDOM 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu,chuo kikuu cha dodoma kimetangaza majina ya wanafunzi wengine watakaojiunga na mafunzo ya ualimu special programme udom mwaka wa masomo 2014/2015,hata hivyo zimebaki takribani siku mbili tu vijana hao waanze masomo yao,hivyo basi MASWAYETU BLOG TEAM tunakuomba...
Share:

Wednesday, 5 November 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                         Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015 Tunaendelea kutoa huduma...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger