Saturday, 21 May 2016

USHAURI WA BURE KWA FORM SIX WOTE 2016 MNAOTAKA KUFANYA SELECTION YA KOZI VYUO MBALIMBALI,KUJUA CUT OF POINT NA KOZI NZURI ZA KUSOMA,TANZANIA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari zenu;kwanza kabisa nipende kuwapongeza wote mliofaulu kuja chuo kikuu kwani mmeonyesha juhudi za kutosha hadi hapo mlipofikia.

Leo napenda kuzungumzia jambo moja kubwa ambalo wengi mnalifikiria mda huu kuhusu selection ya kozi.

Mwaka jana wa masomo kulikuwa na system ambayo ilikuwa kama ifuatavyo katika upangaji wa grade zaufaulu;
DIV I 3-9
DIV II 10-12
DIV III 13-17
DIV 1V 18-19
DIV 1V-20 0

Ambapo mwaka huu mambo yamebadilika sana kwani system za upangaji grade zimebadilika sana lakini TCU hilo wameliona na ukiangalia katika TCU GUIDE BOOK WAMESEMA KUWA WATA TRANSFORM MATOKEO YA MWAKA HUU KWA AJILI YA UNIVERSITY SELECTION PEKE YAKE.


Hivyo basi napenda kuwaambia na kuwashauri wadogo zangu kuwa kama umefaulu usilazimishe kwenda kusoma kozi ambayo baadae utakuja kulaumiwa na wazazi wako au ndugu zako;mfano unasoma kozi ambayo ajira zake zinasumbua hii itakupa shida kwa baadae ambapo utamaliza chuo.

Kama unahisi maisha ya kwenu si mazuri kiuchumi nakuomba kasome kozi amabyo itakuja kukupatia ajira kwa urahisi mfano kozi ya education  ni kozi amabyo ningekushauri usome,au kama unaona umefaulu sana chagua medicine,agriculture,food science au engineering kwani ajira zake si mbaya na hautasumbuka sana mtaani.

Pili kumbuka kuwa katika swala la kuchagua kozi kuna competition hili nimelishudia mwaka jana ambapo ilibidi watu wachague vyuo zaidi ya mara tatu hadi wengine walikosa kwa sababu ya competition.
Pia kuna Bodi ya mikopo,ki ukweli kwa hli wadogo zangu naomba muwe makini sana kwani inatesa sana omba mungu mambo yako yaende safi.

Endapo utataka nikushauri kuhusu kozi ya kuchagua ili usije ukaachwa tafdhali naomba unitumie sms kwa namba nitakayoiweka hapo chini nami nitakujibu na kukushauri bure kwani nina uzoefu wa kutosha na uelewa kuhusu selection za vyuo vikuu kwani nimeingia kwenye bodi ya selection nma nimeona jinsi wanavyo select wanafunzi.

USHAURI  KAMA UNAONA MAKSI ZAKO SI NZURI SANA PLEASE CHAGUA KOZI AMBAYO HAINA COMPETITION HATA KIDOGO.

KAMA UNGEPENDA NIKUSHAURI ZAIDI KUHUSU SE;LECTION,KOZI NZURI NA CUTT OF POINT TAFADHALI WASILIANA NAMI +255768260834 (BLOGGER BOY)

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger