INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Saturday, 28 June 2014
MATOKEO BRAZIL NA CHILE:BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA,HONGERA CHILE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120.
WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120.
AJALI YA NOAH SINGIDA-WATATU WAFARIKI,KUMI WAJERUHIWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu
watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa
wakisafiria aina ya Noha kupasuka tairi ya nyuma na kubingirita mara
tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida.
ADA VYUO VYA UALIMU JUU,YAPANDA ZAIDI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
\Serikali imepandisha maradufu ada kwa wanafunzi wanaosomea ualimu kwenye vyuo vya ualimu nchini kuanzia muhula ujao wa masomo.
BARCELONA YAMWINDA SUAREZ
Licha ya
kukabiliwa na marufuku ya FIFA ya miezi minne kwa kumng'ata mlinzi wa
Italia Giorgio Chiellini Barcelona ya Uhispania haijakata tamaa ya
kumsajili mshambulizi machachari wa wa Uruguay Luiz Suarez.
MBASHA NA FLORA-"MUNGU YUMWEMA SIKU ZOTE" BIFU LIMEISHA WASAMEHANA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: WAANDISHI WETU
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.

DIAMOND PLATNUMZZ KATIKA BET AWARDS NYINGINE TENA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati
wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre
uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014
kesho Juni 29.Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
JAMANI NANOMBA TUMSAIDIE KIJANA HUYU-YEYOTE MWENYE UWEZO
JOINT MASS-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE-MAZIMBU KWA AJILI YA MITIHANI YA UE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanfunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro jana wame fanya misa ya pamoja kwa ajili ya mitihani inaoenda kuanza hapo jumatatu.
Wanfunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro jana wame fanya misa ya pamoja kwa ajili ya mitihani inaoenda kuanza hapo jumatatu.
Friday, 27 June 2014
WANAFUNZI UDOM WADAI PESA ZAO ZA FIELD,WATISHIA KUANDAMANA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba ‘wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) wanajiandaa kuandamana kushinikiza kupewa hela zao za mafunzo kwa vitendo’ mtoa taarifa amesema chuo ilishapokea pesa hizo tangu wiki mbili zilizopita lakini mpaka sasa bado wanafunzi hawapewa KUSAINI pesa hizo. Na ukisoma