Wednesday, 25 June 2014
SUAREZ ANG'ATA MTU MENO-KOMBE LA DUNIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jana
tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania
kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira
alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali
wafugwao!
MAMBO YA VIGODORO HAYA TAZAMA HAPA
Mi sitii neno hapa leo, jionee mwenyewe balaa la wazee hawa....Kweli ujana mwisho Chalinze niaje..!
INJINIA SUA WAFANYA SHEREHE:KUMPONGEZA BEDON(UNPERISHABLE) KUWA WAZIRI MKUU,JERIMIAH KUWA MBUNGE
JUMUIYA YA WANA SUA WANAFUNZI WASOMAO INJINIA LEO HII WAMEFANYA SHEREHE AMBAYO ITAKUMBUKWA NA WATU WENGI BAADA YA MTAJWA HAPO JUU MH.BEDON KUTEULIWA NA MH.RAS KUWA WAZIRI MKUU WA CHUO HICHO.
Tuesday, 24 June 2014
TOA MAONI YAKO:Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?
MOE:TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI, ENGLISH NA UALIMU KWA MUDA WA MIAKA 3
UTANGULIZI
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inakaribisha maombi ya kujiunga na Masomo ya Kidato cha Tano kwa tahasusi za masomo ya Sayansi, Hisabati English, na Ualimu kwa muda miaka 3 kwa wahitimu wa Kidato cha IV wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III kati ya mwaka 2004 na 2013. Katika masomo haya mwanafunzi atasoma masomo ya Sekondari ya Kidato cha V na VI na kufanya mtihani wa taifa wa Kidato cha VI na kuendelea na Mafunzo ya Ualimu kwa mwaka mwingine mmoja ambapo atatunukiwa Stashahada ya Ualimu. Awali, mfumo huu ulikuwa unajulikana kama half combination.
KANGA MOJA:HUYU HAPA YULE MAMA ALIEPIGWA RISASI WAKATI WAKISHIRIKI NGOMA HIZO
MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa
kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko
iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam,
amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku
hiyo ya tukio.
Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la kulia wakati wa vurugu iliyotokea.
Mama huyo, Rehema Aziz alisema waliojeruhiwa walikuwa wakisherehekea
kuolewa kwa mwanaye aitwaye Aziza Aziz, ambao walikuwa ni marafiki zake
na walifanya hivyo kwa mujibu wa mila za watu wa Pwani, za kucheza na
kufurahi wakizunguka mitaani, lakini bila kufanya fujo yoyote.KIWANDA CHA MAFUTA IRAQ CHATEKWA
Wapiganaji wa kisunni wamekuwa wakiteka miji nchini Iraq na kuwaacha maelfu bila makao
Monday, 23 June 2014
ANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2014 ARUSHA TECHNICAL COLLEGE (ATC) ,DIT,WDMI, NA MIST
MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MOJA ATELEKEZWA NA MAMA YAKE
VITUKO uswahilini! Mtoto wa mwenye umri
umri wa mwaka mmoja ambaye jina halikufahamika ameokolewa na Oparesheni
Fichua Maovu ya Global Publishers baada ya kudaiwa kutelekezwa kwa siku
nzima na mama yake mzazi, Mama Sofia.
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyetelekezwa na mama yake