Moto uhuu umezuka karibu na hostel za
mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo
hakijajulikana mpaka sasa..... tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi
kutolewa.
BAADAya
kimya kirefu tangu ndoa iliyopagwa kufungwa kati yake na Charles Pai
kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa
Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka mambo mengi lakini kubwa ni
kwamba, amefanyiwa sherehe.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata akiwa Bungeni.
WAKATImume
wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru
kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima
ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo, Risasi Jumamosi
limesheheni mkobani.
KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha,
mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira
akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
MUIGIZAJI ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki, Zuena
Mohammed ‘Shilole’ amegandwa na madai ya utapeli kufuatia jamaa mmoja
aitwaye Samir kuibuka na kudai kuwa, walimpa shilingi laki mbili ili
awakodishie madansa kwa ajili ya video yao lakini mpaka sasa anachenga.
INASIKITISHA! Mama
mmoja mkazi Karagwe mkoani Kagera, Josephine Domisian (34)
ametelekezwa na mumewe aitwaye Dominic baada ya kupatwa na ugonjwa wa
saratani ya kizazi miaka mitatu iliyopita.
Akizungumza
kwa uchungu akiwa katika hospitali ya magonjwa ya Saratani ya Ocean
Road, jijini Dar mama huyo alisema awali mumewe alikuwa akimnyanyapaa kwa kumnyima msaada hata wa chakula, hali iliyosababisha wanakijiji
wenzake kumsaidia fedha za usafiri wa kumpeleka Dar kwa ajili ya
matibabu.“Nilisaidiwa kiasi cha shilingi 150,000 na kufanikiwa kufika hospitalini. Kule
nilimuacha mume wangu na wanangu wanne, lakini nimepewa taarifa kwamba
mume wangu amewaacha watoto, sasa wanalelewa na majirani na yeye ameoa
mke mwingine.
Mume
aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar,
amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack
wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.Tukio
hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa
Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake
wakipeana maraha.
Imedaiwa
kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika
shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki yake na
kufanya mchezo wa kikubwa.
Wapangaji
wenziye na Jack wamedai kuwa, mke huyo wa mtu ambaye ana miezi
Jeshi
la polisi mkoa wa Mara linamshikilia kijana mmoja ambaye ni mwanafunzi
wa kidato cha 2 katika shule ya sekondari ya Kemoramba wilayani Butiama,
baada ya kutuhumiwa kumbaka mtoto wa kaka yeke mwenye umri wa mwaka
mmoja na miezi kumi, mkazi wa kijiji cha Nyankanga wilayani Butiama.
Muangalizi:
Jose Mourinho (kulia) amekuwa akiwatembelea watoto wanaosumbuliwa na
njaa pamoja na wagongwa wa UKIMWI nchini Ivory Coast akiwa kama balozi
wa Mpango wa Chakula Duniani.
Jaji
Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo
vya habari (hawapo pichani) wakati wa semina kwa wahariri wa vyombo vya
habari juu ya maandalizi ya uandikishaji wapiga kura nchini, kulia ni
Mkurugenzi wa uchaguzi toka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Julius
Mallaba.
Baadhi ya wahariri wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
RAIS wa
jamhuri ya muungano waTanzania, Dakta,Jakaya Kikwete,jana alikabidhi
msaada wa Pikipiki10 kwa chama cha Akiba na Mikopo cha Waendesha
Pikipikikatika jiji la Arusha,UWAPA SACCOS, zenye thamani ya shilingi
milioni 15.9.
muna akiwa kwenye pozi tata Msanii
wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr
dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.