INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Friday, 20 June 2014
JOSE MOURINHO :"AMWAGA MACHOZI AKIFANYA ZIARA AFRIKA", ASEMA FAINI ANAZOTOZWA NA FA ZISAIDIE WENYE NJAA NA MAGONJWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Muangalizi:
Jose Mourinho (kulia) amekuwa akiwatembelea watoto wanaosumbuliwa na
njaa pamoja na wagongwa wa UKIMWI nchini Ivory Coast akiwa kama balozi
wa Mpango wa Chakula Duniani.
AJALI MBAYA YATOKEA KATIKA DARAJA LA MTO NDURUMA, JIJINI ARUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
![]() |
| Scania mbili zilizogongana na fuso katika daraja la mto Nduruma |
NEC: KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jaji
Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo
vya habari (hawapo pichani) wakati wa semina kwa wahariri wa vyombo vya
habari juu ya maandalizi ya uandikishaji wapiga kura nchini, kulia ni
Mkurugenzi wa uchaguzi toka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Julius
Mallaba.

Baadhi ya wahariri wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
MH RAIS KIKWETE AKABIDHI BODABODA 10 ARUSHA
Mahmoud Ahmad Arusha
RAIS wa
jamhuri ya muungano waTanzania, Dakta,Jakaya Kikwete,jana alikabidhi
msaada wa Pikipiki10 kwa chama cha Akiba na Mikopo cha Waendesha
Pikipikikatika jiji la Arusha,UWAPA SACCOS, zenye thamani ya shilingi
milioni 15.9.
AJALI YA BASI LA NEW FORCE , WATEMBEA KWA MIGUU WAWILI WAFARIKI NA WENGINE KUJERUHIWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro Muda akiwa katika eneo la Ajali Jana
JAMAA AJINYONGA KWA KUKOSA KODI YA CHUMBA-SOMA HAPA
Marehemu Geofrey Ndibalema (41), mkazi wa Tandika jijini Dar aliyejinyonga kwa kukosa kodi ya chumba.
Thursday, 19 June 2014
Marehemu Kanali(mstaafu) Ally Hassan Mwanakatwe aagwa Lugalo
Kanali
Ally Hassan Mwanakatwe alizaliwa
tarehe 05 Julai, 1949 katika Kijiji
cha Dareda, Kata ya Dareda, Tarafa ya Dareda, Wilaya ya Babati katika
Mkoa wa
UTARATIBU WA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ofisi
ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)
imetangaza
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha
tano kwa mwaka 2014 ambao
waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
|
|||||
Wanafunzi waliochaguliwa
wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai
2014
na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na
mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa
shule walizopangiwa, hivyo
wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
inavyoonekana katika matokeo haya. |
MUME WA FROLA MBASHA APEWA DHAMANA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akipelekwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar.
AGNESS MASOGANGE USO KWA USO NA CORAZON KWAMBOKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Daah
NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa hapa Afrika
Mashariki kwa kuwa na maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na
Masogange kutoka hapa 255.
TANZANIA YAGUNDUA GESI NYINGINE.

Wednesday, 18 June 2014
MPYA:SOMA TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO HAPA
Ofisi
ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)
imetangaza
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha
tano kwa mwaka 2014 ambao
waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
|
|||||
Wanafunzi waliochaguliwa
wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai
2014
na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na
mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa
shule walizopangiwa, hivyo
wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
inavyoonekana katika matokeo haya. |
ANGALIA TIMETABLE YA LIGI KUU YA UINGEREZA 2014/2015,ITAKAYOANZA 08/16/2014
| 1. Round | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 16/08/2014 | 15:00 | Arsenal FC | - | Crystal Palace | -:- | |||||
| 15:00 | Burnley FC | - | Chelsea FC | -:- | ||||||
| 15:00 | Leicester City | - | Everton FC | -:- | ||||||
| 15:00 | Liverpool FC | - | Southampton FC | -:- | ||||||
| 15:00 | Manchester United | - | Swansea City | -:- | ||||||
| 15:00 | Newcastle United | - | Manchester City | -:- | ||||||
| 15:00 | Queens Park Rangers | - | Hull City | -:- | ||||||
| 15:00 | Stoke City | - | Aston Villa | -:- | ||||||
| 15:00 | West Bromwich Albion | - | Sunderland AFC | -:- | ||||||
| 15:00 | West Ham United | - | Tottenham Hotspur | -:- | ||||||




