Habari zenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG Kama kawaida yetu kazi yetu ni kuzidi kuwapa raha na furaha wadau wetu na watembeleaji wa blog hii pendwa.
Leo tunapenda kukupa mwangaza na ufahamu kuhusu Cheti,diploma na digrii zitolewazo chuo kikuu cha UDOM 2015/16 na sifa zake za kujiunga na diploma hizo.
NOTE
Kwa kuanza napenda kuanza na kozi za cheti ambazo zenyewe wanachukua ufaulu usiopungua D NNE katika msomo husika ya kzoi mfano,arts uwe umefaulu masomo manne ya lugha,science uwe umefaulu masomo manne ya sayansi na iashara uwe umefaulu masomo ya biashara including mathematics
Ambapo kwa matokeo ya mwaka huu wanaanzia GPA YA 1.6
1.CHETI
Kuna kozi mbalimbali zitolewzo na Chuo kikuu cha UDOM ngazi ya cheti,nazo ni;
1 Certificate in Journalism
2 Certificate in Film Production
3 Certificate in Fine Arts and Design
4 Certificate in Tourism and Cultural Heritage
5 Astashahada ya Kiswahili
SIFA(Awe amehitimukidato channe na amefaulu masomo manne yalugha na sanaa)
.
6 Certificate in Accounting or finance or Banking
7 Certificate in Marketing
8 Certificate in Procurement & Logistics Management
9 Certificate in Tourism Management
10 Certificate in Project Planning and Management (CPM
11 Certificate in Social Work and Community Development (CSCD)
12 Certificate in Public Administration and Management (CPAM)
13 Certificate in Educational Technology
14 Certificate in Multimedia Technology
15 Certificate in Graphic Design
16 Certificate in Information and Communication Technology
17 Certificate in Computer Applications and Office Administration
18 Certificate in Web Technology
19 Certificate in Office Equipment Repair and Maintenance
20 Certificate in Computer Networks
21 Certificate in Geo Sciences
22 Certificate in Apiculture (Beekeeping
23 Certificate in Statistics
Kwa kuangalia kozi hizo hapo juu napenda kuwaambia wadogo zangu kuwa muanze kuomba mapema kwani deadline ni tarehe 30th june 2015.
mwandishi ni blogger boy(innocent)
0 comments:
Post a Comment