Wednesday 20 August 2014

UKWELI KUHUSU SECOND SELECTION(UCHAGUZI AWAMU YA PILI) KIDATO CHA TANO 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

KWANZA KABLA YA YOTE NAPENDA KUWEKA HAPA TAARIFA YA TAMISEMI KUHUSU ORODHA MPYA YA MAJINA KIDATO CHA TANO 2014 INAVYOSOMEKA;

ORODHA MPYA NA MABADILIKO YA SHULE - FORM V

ORODHA MPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014 ;
Tangazo

Wasichana
Wavulana
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya mawaswayetu exclusive blogspot ,Leo napenda kuzungumzia ukweli kuhusu kutolewa kwa selection kidato cha tano amabpo wanafunzi takribani 16000 walikosa nafasi zakujiunga na kidato cha tano 2014/2015 ambapo pia naibu waziri alisema kuwa kutakuwa na uchaguzi aawamu ya pili amabpo hadi bleo hii bado hatima ya vijana haoa haijajulikana.

Ndugu zangu awamu ya pili ya uchaguzi kadato cha tano imekuwa ni gumzo mtaani kwani wanafunzi wengi wenye vigezo walikosa nafasi za kujiunga na elimu ya kidato cha tano na sita.


lakini kama mnakumbuka kipindi majina ya vijana wanaojiunga na kidato cha tanao yanatangazwa katika taarifa ya naibu waziri wa elimu tamisemi sekondari alisema kuwa kutakuwa na uchaguzi wamu ya pili mara tu wanafunzi watakaporipoti shule walizopanwa ili kuangalia ni wangapi amabo hawakupangwa ili kuongezea nafasi zitakazokuwa zimeachwa wazi.

Ngugu zangu baada ya uchaguzi awamu ya kwanza uliofanyika mnamo JUNI 2014,Mwezi mmoja baadae tarehe 17/july/2014 yalitolewa majina mapya ya kidato cha tano na taarifa ilisomeka hivi ORODHA MPYA YA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2014.

Swali la kujiuliza ni kwamba je HIYO ORODHA MPYA NDIO SECOND SELECTION AU WALIMAANISHA NINI?kwani tukiangaliza mda unazidi kusonga mbele na hadi leo vijana hawajui hatima yao ya kwenda kidato cha tano.

Tukitazamia upande mwingine kuhusu VYUO VYA UALIMU (CHETI&DIPLOMA) hadi leo serikali imekaa kimya kutoa tamko.

Nililazimika kumtembela Afisa mmoja wa Tamisemi(jina tumelihifadhi) ambae alisema kuwa hata yeye pia hafahamu kinachoendela kwani vijana hao wanatakiwa kuendelea kusubiri na kuwa wavumilivu kwani serikali yao ni sikivu itawatolea majibi 
 mda si mrefu).


Wako katika kukuletea kitu roho inapenda INNOCENT THE BLOGGER-BOY,kama unawazo,maoni au ushauri tafadhali wasiliana na mhusika mkuu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOGSPOT
kwa simu namba +255768260834.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger