Habari yenu wadau wa blog hii pendwa wa MASWAYETU LEO TUNAWELETEA MAJINA YA WANAFUNZI TAKRIBANI 8101 YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014/2015.
Kama ilivyo utaratibu wetu kuangalizia majina ya wale wote mtakaohitaji,tutaoa huduma hiyo.
Ili uwezue kuambiwa umechaguliwa shule gani tafadhali fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO NA NAMBA YAKO YA SHULE ULIYOMALIZIA KWA SMS KWENDA NAMBA 0768260834.
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU KIASI CHA TSHS.500
AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA,KAMA UNATUMIA AIRTEL,TIGO AU ZANTEL TAFADHALI TUMA VOCHA YA JERO.
3.UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA.
NB:USIPIGE SIMU,TUMA KWANZA PESA NDO UJIBIWE,PESA YA HUDUMA ITUMWE KWENDA NAMBA 0768260834.
SOMA TAARIFA HIYO YA UCHAGUZI HAPO CHINI.
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA
UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO 2014 AWAMU YA PILI
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa
kujiunga na kidato cha tano 2014 awamu ya pili.
Wanafunzi 8,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato
cha tano awamu ya pili 2014, kati ya hao 4,987
wamepangwa tahasusi za sayansi ya jamii na biashara na wanafunzi 3,114 wamepangwa tahasusi za sayansi.
Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2014 na mwisho wa kuripoti
ni tarehe 15 Septemba, 2014.
Imetolewa na Katibu Mkuu
OFISI
YA WAZIRI MKUU – TAMISEMI 29 AGOSTI, 2014
ANGALIA MAJINA HAYO HAPO CHINI PIA
Tangazo
0 comments:
Post a Comment