Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya
maswayetu inakuletea mchanganuo wa viwango vya ufaulu mwaka huu kwa matokeo
kidato cha sita 2014.
Lengo la serikali hii ni kutaka kumfanya
kila mwanafunzi afanyapo mtihani basi matokeo yakitoka ajione amefaulu.
Uhalisia ni kwamba mwaka jana mtu kwa
mfano ukipata DIV III-13 wewe ni mtata kwelikweli lakini leo hii mtu ana
division III-13 anakuwa na mawazo ya kusoma medicine.
Kiukweli wadogo zangu maisha hayapo hivyo
na ifuatayo chini ndio reality ya viwango vya ufaulu ukicompare na miaka
iliyopita.
2014
|
2013-MIAKA
YA NYUMA
|
DIVISION
I-7
|
DIVISION
II-12
|
DIVISION
II-8
|
DIVISION
III-13
|
DIVISION
II-9
|
DIVISION
III-14
|
DIVISION
III-10
|
DIVISION
III-15
|
DIVISION
III-11
|
DIVISION
III-16
|
DIVISION III-12 |
DIVISION
III-17
|
DIVISION
III-13
|
DIVISION
IV 18
|
NOTE:kuanzia div I-6,5,4,3
hawajalinganishwa na maksi zozote zile kwa kifupi they are exceptional to above
table.
Huu hapo juu ni mtizamo wangu tu na
kutokana na maksi zilivyowekwa mwaka huu zinamfanya mtu aliye na div 4 awe ana
sifa za kwenda chuo kikuu,swali linakuja je atachaguliwa??
“NI MTAZAMO TU”-wako INNOCENT THE BLOGGER
BOY-MASWAYETU BLOG OWNER!,
contact-0768260834
contact-0768260834
0 comments:
Post a Comment