Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG shule ya
kidato cha sekondari igowole iliyopo mjini iringa imeongezewa wanafunzi
takribani 207 baada ya hapowali kuwa na wanafunzi wapatao 30 kidato cha tano na
27 kidato cha sita.

Akiongea na blog hii mkuu wa shule hiyo
alisema kuwa hii imetokana na shulye hii kuongoza kitaifa kati ya shule 237
zilizopo Tanzania.
Shule hiyo yenye michepuo ya HKL,HGL, na HGK sasa imeongezewa mchepuo
wa EGM ambapo mkuu huyo alisema kuwa kuna uhaba walimu wa masomo ya sayansi
hivyo serikali inatakiwa kuongeza walimu shuleni hapo.
Tulifanikiwa kumtafuta Afisa elimu wa mkoa wa
iringa na kusema kuwa wameamua kuongeza wanfunzi hao ili kuongeza idadi ya
wanafunzi watakaolelewa katika mazingira mazuri ili kwa baadaec waje kuwa
viongozi borabora kabisa.
Shule hiyo yenye changamoto mbalimbali
zikiwemo kukosekana kwa nyumba za walimu
40 ambapo hadi mda huu kuna nyumba 3 tu.
Wako katika kazi Innocent-the
blogger-MASWAYETU BLOG OWNER.

0 comments:
Post a Comment