Thursday 23 July 2015

Wanachama wa Jumuiya ya Vijana Cahkechake wapanda miti

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Wednesday 22 July 2015

Wema, Aunt wakutana wapigana vikumbo!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
shost
Share:

Wema, Aunt wakutana wapigana vikumbo!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
shost
Share:

Jamani Dada Martha…looh!-24

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI:
Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie funguo za nyumba.
 JIACHIE MWENYEWE SASA…
Aliwaaga wapangaji wenzake akisema anatoka mara moja…
“Jamani natoka, nitarudi lakini,” alisema Martha akiwa tayari kwenye ngazi.
“Poapoa.”
Share:

Kemikali zinavyoathiri sehemu za siri za wanawake

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanawake hupenda sana kutumia marashi na vitu vingine kama sabuni zenye kemikali kwa ajili ya kujirembesha.
Baadhi yao wamekuwa wakipenda usafi wao binafsi wakitumia vitu  ambavyo baadhi yake ni hatari kwani wengine wanapenda kusafisha sehemu zao za siri kwa kutumia sabuni zenye kemikali, pafyumu yaani ‘deodorant’ au kupaka mafuta bila kujua madhara yake.
Wanawake hao wanaotumia vitu hivyo wana hatari ya kupata magonjwa ya zinaa au ya kuambukiza. Watafiti katika Chuo Kikuu cha California, Marekani wanasema sabuni ngumu au hata za maji, pafyumu ‘deodorant’ zinaharibu tishu muhimu zilizomo
Share:

Ulisema ukiolewa, ukipata kazi, ukiongezwa mshahara utafurahi; mbona sasa hufurahi?

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Karibu kila mtu anatafuta furaha kwa njia mbalimbali anazoona zinafaa. Wapo wanaoamini kuwa wakipata wake/waume, kazi, utajiri, wakijenga nyumba, wakipandishwa cheo na kufaulu mitihani watafurahi sana.
Lakini tafiti zinaonesha kuwa asilimia 87 ya wanaohangaika kutafuta hayo wanayodhani yatawafurahisha huwa hawafurahi sawa na matarajio yao ya awali.
Share:

Mwenye nyumba amchukua mke wa mpangaji

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Ni siku nyingine tena tunakutana katika kona yetu ya Vituko Mtaani, leo tunapata simulizi kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbuyuni, Kata ya Azimio, Temeke jijini Dar es Salaam, Selemani Mponyo (pichani), hapa anaanza kusimulia kisa cha kusisimua.
“Mambo mengine ni aibu kuyaongea kwa umri kama wetu lakini ngoja nisimulie ili watu wajifunze. Ni kipindi kirefu sasa tangu niamue kesi iliyonishangaza sana.
“Siku moja walikuja mke na mume ofisini, mume akimtuhumu mkewe kwa kutembea na mwenye nyumba
Share:

Manyanyaso ya wadada wa kazi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


UTAKUWA umesikia au kuona simulizi nyingi zinazowahusu wadada wa kazi wanazokutana nazo katika familia mbalimbali. Licha ya umuhimu wao mkubwa, lakini baadhi yao wamekuwa wakichukuliwa kama watu wenye shida, wasio na maana ambao licha ya kazi yao ngumu na muhimu kwa familia, wamekuwa wakibezwa, kutukanwa na hata kupigwa.
Filamu ya Kajala inawakilisha aina hii ya kazi zinazofanywa na wasichana, ambao uzoefu unaonesha wanatokana na maisha magumu katika familia wanazotoka, yatima  au hata manyanyaso kutoka kwa ndugu wa karibu.
Share:

Mzazi umeharibika, utamnyoosha vipi mtoto?

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Jamani mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye.
Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushoto.
Share:

Ray c awapiga mizinga wanaomchumbia

IMG_0380
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 22,2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

Monday 20 July 2015

DOWNLOAD EMMANUEL AUSTIN FT BEN POL-RUKA JUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Kura ya Maoni ubunge na udiwani Chadema Julai 20-25 mwaka huu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge kukamilika Majimbo yote yanatakiwa kuanza zoezi la kura ya maoni tarehe 20-25 Julai mwaka huu kwa kuzingatia Mwongozo wa Taratibu za Kura ya Maoni ambao umeshatumwa nchi nzima
Share:

Saturday 18 July 2015

MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 18 ,2015

Share:

Friday 17 July 2015

STEVE NYERERE ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KINONDONI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.57 PM
Chama cha CCM kilitangaza kwamba wameanza
Share:

LOWASSA APOKELEWA CHADEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Lowassa Chadema
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger