INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jeshi
la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato
cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa
kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la Polisi.
Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG Inapenda kutoa huduma ya kuangalia majina yao kwa wale watakaohitaji kuangaliziwa,tafadhali Tuma jina lako na shida yako kwenda namba 0768260834 ,usisahau kutuma nTshs.100 Kwa ajili ya kujibiwa sms yako mapema,karibu sana MASWAYETU BLOG
Pia uongozi wa blog hii unapenda kuwashauri wale wote mliomaliza kidato cha nne na sita 2013 na 2014 kuangalia jina lako hapa kwani hauwezi jua ya TCU,second selection au vyuo vya ualimu yatakuwaje.
Pia uongozi wa blog hii unapenda kuwashauri wale wote mliomaliza kidato cha nne na sita 2013 na 2014 kuangalia jina lako hapa kwani hauwezi jua ya TCU,second selection au vyuo vya ualimu yatakuwaje.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini: