Saturday 26 July 2014

UBORA WA VYUO VIKUU MBALIMBALI NA KOZI NZURI ZITOLEWAZO NA VYUO HIVYO


INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA YA YOTE  NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS WHY NILIWASHAURI KWAMBA KAMA UNA MASHAKA NA MAKSI ZAKO CHAGUA EDUCATION.
 
Leo siku njema ya jumamosi napenda kuwaletea mada juu ya vyuo vikuu vilivyopo tanzania na kozi  wazitoazo;
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 26/07/2014,KUBWA ZAIDI MBOWE NA SITTA WAINGIA VITANI


INNOCENT-THE BLOGGER-BOYDSC01162
Share:

Friday 25 July 2014

SHEHE AWAVAA WEMA, DIDA NA DIAMOND: KISA WAWEKA KAUNTA ZA POMBE MAJUMBANI MWAO KIPINDI HIKI CHA MFUNGO...AWAPA MAKAVU LIVE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

KIJANA AMBAAE KINARA WA KUBAKA,KULAWITI NA KUTOBOA MACHO WATOTO SHINYANGA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kushoto ni kijana aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka,kulawiti na kutoboa macho watoto
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 25/07/2014,KUBWA BUNGE LAKATIBA LAOTA MBAWA

04_d79f2.jpg1_ba461.jpg
Share:

Thursday 24 July 2014

ANGALIA ORODHA MPYA YA WANAFUNZI WALIOBADILISHIWA SHULE KIDATO CHA TANOAWAMU YA PILI 2014

                                      

kama kawaida yetu blog yetu pendwa ya MASWAYETU inakuletea majina ya kidato cha tano walioomba kuhamishwa shule walizochaguliwa,awamu hii ni ya kwanza na ya mwisho,tafadhali wasiliana nami kwa kutuma sms kuangaliziwa kama umebadilishiwa shule kwa sms namba ifuatayo +255768260834 ,kumbuka kutuma na tsh.100 ya kujibiwa sms yako.

Tafadhali bonyeza hapo chini kuangalia jina lako;
Share:

SCHOLARSHIP:MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ANGALIA HAPA NAFASI YA SCHOLARSHIP KWENDA KUSOMA NCHINI MAURTIUS,NITASAIDIA KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUFANYA APPLICATION TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBA +255768260834,SIFA UWE NA DIVISION I or II.


MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014

(Re-Advertised) Deadline for submission is 30th July, 2014.
GUIDELINES FOR APPLICANTS - icon App_Form_ Scholarship_Mauritious (457.58 kB)

Introduction
The Government of the Republic of Mauritius is offering scholarships for undergraduate studies in public tertiary education institutions in Mauritius.

Applications are invited from qualified Tanzanians to apply for undergraduate programs tenable in the Republic of Mauritius for 2014/2015 academic year in the following areas of specializations:-
§  Medicine,
§  Pharmacy
§  Engineering,
§  Science and Technology,
§  Oil and Gas,
§  Agriculture,
§  Telecommunications and,
§  Geology.
Share:

HIVI NDIVYO VIGEZO VINAVYOTUMIKA KATIKA UDAHILI WA WANAFUNZI VYUO VIKUU 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                               
Habari yenu wadau wa Blog hii pendwa ya maswayetu blog  kutoka na maswali mengi niloyapata kutoka wadau mbalimbali imenibidi niweke hapa JINSI UDAHULI WA WANAFUNZI UTAKAVYOFANYIKA MWAKA HUU ILI KILA MMOJA AANGALIE WAPI PA KUCHAGUA.

Ukiangalia katika TCU guide book ya mwaka huu kuna haya maneno utayaona,
Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to applicants who
completed Form Four and Form six in 1988-2013. For Form Six applicants who completed their studies
in 2014, their grades will be translated into Old Grading System. The translation is illustrated in Table 3
and will be used for admission purposes only. 

 ANGALIA HAPA CHINI KWA CONVERSION ITAKAVYOFANYIKA;
Share:

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU (UDS,SUA,UDOM,SAUT ) WAKOSA IMANI NA SERIKALI YA TANZANIA,WALILIA PESA YAO YA FIELD,HII NI WIKI YA 5 HAWAJAPATA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                            

Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali hapa tanzania hadi mda huu hawajui hatima yao ni nini kwani tangu wasaini pesa yao ya field yapata   wiki 5 sasa.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wa vyuo mbalimbali hapa tanzania wameonesha wazi kutokuwa na imani na uongozi uliopo juu kwani waliaihidiwa kuwa pesa haitachelewa tena.
Share:

AJALI YA FUSO KISHAPU: WAKIENDA MNADANI HUKO KISHAPU SASA NI WATATU,MAJERUHI 46, WENGI NI WAFANYABIASHARA ,KAMANDA WA POLISI MKOA JUSTUS KAMUGISHA AZUNGUMZIA AJALI HIYO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAC Justus Kamugisha akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo mchana
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO TAREHE 24/07/2014,KUBWA JK ASEMA HAPENDI KUSUTWA

4_8a3ac.jpg
Share:

MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU TOKA SEKRETARIETI YA AJIRA DAR,NI MUHIMU SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MAJIBU YA MASWALI YA WADAU MEI-JULAI 2014 


MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU 
Awali ya yote Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Mei hadi Julai, 2014. Maswali yao yanasaidia sana pindi yanapotolewa majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine katika kuelimishana kuhusu masuala yanayohusu uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini. 
            SWALI
  1. Nimekuwa mfuatiliaji wa Vyombo mbalimbali vya Habari ikiwemo mitandao ya kijamii na kuna wakati niliona baadhi ya wadau wenu wakilalamikia suala la kutumia transcript katika kutuma maombi ya kazi. Je, Sekretarieti ya Ajira mnalizungumziaje suala hilo?
Share:

ARUSHA:Mabweni ya Shule yateketea kwa Moto Monduli

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

Wednesday 23 July 2014

KUELEKEA UCHAGUZI 2015:: VIJANA WAAMUA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE, HUYU NI MMOJA WAO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA

Katika kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais Hapo Mwakani (2015). Inaonesha vijana wamedhamiria kufanya mapinduzi na kuvunja ukimya katika kunyakua nyadhifa muhimu katika vyama vya Siasa ikiwa ni tofauti na hapo awali kwamba ilizoeleka ni wazee peke yao tena wale wastaafu kutoka serikalini ndio walikuwa wanategemewa kugombea nyadhifa hizo.
Share:

Monday 21 July 2014

TANGAZO MUHIMU TOKA NACTE: Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi (Ordinary Diploma in Primary Education (ODPE)) katika vyuo teule vya majaribio na Stashahada maalumu ya Ualimu wa Sekondari kwa waliomaliza kidato cha nne (Hisabati na Sayansi) itakayoendeshwa katika chuo kikuu cha Dodoma.
Share:

BREAKING NEWS:BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU

Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu

Watu watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya Basi la AM Coach lililokuwa linatokea katika kijiji cha Sayusayu wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuelekea jijini Mwanza

 Majeruhi hao wamekimbizwa katika Hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.
Share:

TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                               Image result for advertisement picture picture
   
UONGOZI WA MASWAYETU BLOG UNAPENDA KUWATANGAZIA WADAU WOTE WA BLOG HII PAMOJA NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA SASA TUNAPOKEA MATANGAZO YOTE.


hadi sasa tunawatembeleaji  zaidi ya 8000+ kwa siku moja,hivyo basi endapo utataka kutangaza na kukuza biashara yako karibu milango ipo wazi.
BEI:TANGAZO MOJA TUNAFANYA 4000/=
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger