Tuesday 15 July 2014

MAJINA YA WALIMU NGAZI YA CHETI WALIOPANGIWA KWENDA 821 KJ -BUROMBOLA JKT

NAMKOANAMBA YACHUOJINA LA CHUOJINSIJINA LA MTAHINIWA
1 KAGERA E0585 ST. FRANCIS NKINDO TEACHERS' COLLEGE F ABELLA CLEMENCE
2 DODOMA E0508 MPWAPWA TEACHERS' COLLEGE F ADAH S JAGWASY
3 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F ADASIA JONATHAN
4 NJOMBE E0528 TANDALA TEACHERS' COLLEGE F ADELA ALOICE MTUI
5 RUKWA E0618 AGGREY CHANJI TEACHERS' COLLEGE F ADELA DAMAS CHOGA
6 MBEYA E0597 MBEYA MORAVIAN TEACHERS' COLLEGE F ADELA E KAUNGO
7 RUKWA E0591 RUKWA TEACHERS' COLLEGE F ADELA H NZOWA
8 TABORA E0518 NDALA TEACHERS' COLLEGE F ADELA MARTIN LUJUO
9 MBEYA E0524 MPUGUSO TEACHERS' COLLEGE F ADELHELMA CHALLE
10 MOROGORO E0512 MHONDA TEACHERS' COLLEGE F ADELIADA KISWEKA
11 RUKWA E0591 RUKWA TEACHERS' COLLEGE F ADELINA MBOTWA
12 TANGA E0547 ECKERNFORDE TEACHERS' COLLEGE F ADELINA MTEGA
13 KILIMANJARO E0614 ARIZONA TEACHERS' COLLEGE F ADELINA E MBAGA
14 MANYARA E0613 WAAMA TEACHERS' COLLEGE F ADELINA J DAWITE
15 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F ADELINA MREMA EUGEN
16 IRINGA E0603 MUFINDI TEACHERS' COLLEGE F ADELINA STEPHANO NJAWIKE
17 KAGERA E0570 NYAMAHANGA TEACHERS' COLLEGE F ADELITHA MUKIZA
18 TANGA E0547 ECKERNFORDE TEACHERS' COLLEGE F ADIAH MICHAEL AHMADA
19 MBEYA E0524 MPUGUSO TEACHERS' COLLEGE F ADITA U MBUGHI
20 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F ADROFINA G NEMES
21 KAGERA E0573 BUKOBA LUTHERAN TEACHERS' COLLEGE F ADVELA SEVERINE
22 RUKWA E0591 RUKWA TEACHERS' COLLEGE F ADVELA PASKALI BUHAGA
23 SINGIDA E0575 SINGIDA TEACHERS' COLLEGE F ADVENTINA JOSEPHAT
24 KIGOMA E0544 KABANGA TEACHERS' COLLEGE F AESHI H HASSAN
25 KAGERA E0585 ST. FRANCIS NKINDO TEACHERS' COLLEGE F AFRA MUSHABI
26 LINDI E0532 NACHINGWEA TEACHERS' COLLEGE F AFRA C CHALELA
27 KILIMANJARO E0513 MANDAKA TEACHERS' COLLEGE F AGANILA M NGAMBEKI
28 KILIMANJARO E0586 NORTHERN HIGHLANDS TEACHERS' COLLEGE F AGATHA HYASENT
29 KILIMANJARO E0520 SINGACHINI TEACHERS' COLLEGE F AGATHA AWAKI MELKIZEDECK
30 SINGIDA E0522 KINAMPANDA TEACHERS' COLLEGE F AGATHA S ANTHONY




READ MORE............. 
Share:

CHADEMA :YATOA TAARIFA MAALUM YA MWENENDO WA BUNGE LA KATIBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Dr Wilbrod  Slaa akionyesha kabrasha lenye mambombalimbali ya mikaba kuhusiana na kampuni ya IPTL na Excro Pamoja na taarifa maalum kuhusu mwenendo wa bunge maalum la katiba pia katibu mkuu ameongelea kuhusu mkutano mkuu utakaofanyika hivi
Share:

30 WATWISHWA ZIGO BUNGE LA KATIBA,MBOWE,WEREMA NDANI WENGINE SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
sittakampeni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta
Na Mwandishi wetu
15th July 2014

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo watakaoshiriki katika kikao cha kamati ya Mashauriano kitafachofanyika Julai 24 na 25 mwaka huu, katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam.
Share:

TRAFIKI WA KIKE: ATEKWA JIJINI DAR

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.

Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya maeneo ya Tameke na Chang’ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako mkali wa polisi waliokuwa wakitumia redio za upepo.
Share:

EDWARD LOWASSA:AFUNGUKA KUHUSU URAIS 2015,SOMA HAPA UKWELI WOTE



Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote 

1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University . 

2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida, 
Share:

CCM 2015:SUMAYE AMSHUKIA JANUARI AULIZA NANI HAJAWAHI KUWA KIJANA ADAI KWA KANUNI ZA CCM JANUARI NI MZEE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania.
Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (40), ya kuwataka wazee wakae pembeni na kuwachia vijana kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Share:

BREAKING NEWZ-MOSHI:AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAR.15/07/2014,KUBWA KATIKA MAGAZETI NI TAMKO ZITO KWA KIKWETE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

3_00f9c.jpg
Share:

RIDHIWANI KIKWETE ATAJA MAJINA II WANAPOTOSHA KUGOMBEA URAIS 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake mwakani.
Ridhiwani (35), ambaye alishinda kiti cha ubunge wa Jimbo la Chalinze Aprili mwaka huu, alitaja majina hayo katika mahojiano maalumu na gazeti hili yaliyofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
Share:

UKATILI:HOUSEGIRL- MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake.
Share:

WEMA SEPETU ALIZWA TENA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

KUNA STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika.
Share:

Monday 14 July 2014

KIKOSI CHA TIMU YA DUNIA HIKI HAPA-WORLD CUP 2012 TEAM OF THE TOURNMENT


INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Manuel Neuer (Germany);
Philipp Lahm (Germany),

Share:

WAZIRI GHASIA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NGAZI YA TAIFA MJINI MORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

picha ya pamoja
WAZIRI wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Julai 14, mwaka huu, amefungua mkutano wa Viongozi wa Vyama vya Siasa  vilivyokuwa na usajili wa kudumu ngazi ya Taifa  kujadili maoni ya wadau mbalimbali ya kuboresha kanuni za uchanguzi wa viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Oktoba 2014.
Share:

MKE WA WA RIDHIWAN AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE‏

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.
Share:

BRAZIL :FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Luiz Felipe Scolari.
KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014.
Share:

KILIMANJARO:WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali.
Share:

GERMANY YABEBA KOMBE LA DUNIA,YAIFUNGA ARGENTINA 1-0,LIONE MESSI AWA MCHEZAJI BORA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                   GERMANY 1-0 ARGENTINA
kwa mara ya kwanza timu ya taifa ujerumani imetwaa kombe la dunia ikiwa katika ardhi ya  america ya kusini;Ujerumani imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990.

Pongezi za pekee ziende kwa mshambuliaji Mario Goetze ambae alitokea bench na kufunga goli na kuiwezesha ujerumani  kuongoza kwa ushindi wa goili 1-0 katika dakika ya 113.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger