
Marehemu Regina Temu.
Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefariki katika mtaa wa Mafumbo, manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya mwanaume kumuua mpenzi wake kisha yeye mwenyewe kujinyonga, kisa usaliti wa mapenzi.
Kamanda wa...