INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VPL KUENDELEA KESHO
Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo
mmoja utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,
wenyeji timu ya Azam FC watawakaribisha Mabingwa wapya wa ligi hiyo
msimu huu timu ya Young Africans.