INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SELECTED STUDENTS TO STUDY IN CHINA
...
Thursday, 7 August 2014
Wednesday, 6 August 2014
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOOMBA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 CHETI NA DIPLOMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG Tunapenda kuwapa taarifa kuwa tunawaomba muendelee kutembelea blog hii mara nyingi muwezavyo kwani siku si nyingi tutaweka majina ya wanafunzi ambao watakuwa wamechaguliwa na vyuo mbalimbali vya ualimu 2014/2014 pamoja namafunzo ya stashahada Mara tu Wizara itakapoyarusha hewani kwani wafanyakazi wa blog hii ni makini...
MACHANGUDOA ZAIDI YA 20 WAKAMATWA WAKIWA WANAJIUZA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BAADHI
ya akinadada wanaofanya biashara haramu ya kujiuza katika maeneo ya
Jiji la Dar, wameeleza kuwa licha ya kupewa kashikashi na jeshi la
polisi na wakati mwingine kukamatwa na kupelekwa mahakamani, hawawezi
kuiacha ‘kazi’ hiyo kutokana na ugumu wa maish...
AJIRA ZA POLISI MWAKA 2014 KW AWHITIMU WA ELIMU YA JUU ,FANYA APPLICATION MAPEMA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ajira kwa Wahitimu Elimu ya Juu Mwaka 2014
Katika
mwaka...
Tuesday, 5 August 2014
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari za wakati huu ,asanteni sana kwa kuendelea kutembela blog hii ya maswayetu blog ,Kama kawaida yetu kuwajali watembeleaji wa blog yetu,Leo tumewaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali vya afya 2014/2015.
Tafadhali bonyeza hapo chini kuangalia jina lako
BOFYA HAPA
...
TAARIFA KWA UMMA toka CUF: YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY.
TAARIFA KWA UMMA
YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
Tafadhali husika na somo hapo juu.
Mtakumbuka
kuwa Chama chetu kwa kushirikiana na vyama vingine vinavyoounda Umoja
wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) tuliamua kutoka katika Bunge maalum la
Katiba baada ya CCM kuamua kukiuka utaratibu wa mchakato...
Monday, 4 August 2014
JENGO LA BODI YA MIKOPO LILILO MAENEO YA MWENGE LAWAKA MOTO,JE KUNA USALAM WA FEDHA ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinadai jengo jipya la bodi ya mikopo
lililo maeneo ya Mwenge jjini Dar es salaam limewaka moto, taarifa hiyo...
HII NDIO LIST YA WASANII WATAKAO FANYA SHOW KWENYE FIESTA MWANZA. 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye
uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya
wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa...
Sunday, 3 August 2014
UFAFANUZI KUHUSU ORODHA MPYA MAJINA WANAFUNZI KIDATO CHA V 2014,TULIYOITOA HUMU MNAMO TAR.31 JULY
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mnamo tarehe 31 tuliweka majin ya vijana waliochaguliwa kwa mara nyingine kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
Kwanza
nipende kusema mimi sifanyi kazi Wizarani ,kani mimi ni mmiliki wa blog
ya MASWAYETU ambae nimeweka hayo majina kutoka TAMISEMI.
Pili
nipende kusema kuwa tangu nilipoyaweka hayo majina kuna watu wamepiga
simu wanasema ni ya uongo kwani hawayaoni TAMISEMI,napenda...
Saturday, 2 August 2014
FORM SIX 2014:UKWELI KUHUSU VIWANGO VYA UFAULU HUU HAPA,DIVISION I-7 MWAKA HUU NI SAWASAWA NA DIVISION II YA MWAKA JANA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya
maswayetu inakuletea mchanganuo wa viwango vya ufaulu mwaka huu kwa matokeo
kidato cha sita 2014.
Lengo la serikali hii ni kutaka kumfanya
kila mwanafunzi afanyapo mtihani basi matokeo yakitoka ajione amefaulu.
Uhalisia ni kwamba mwaka jana mtu kwa
mfano ukipata DIV III-13 wewe ni mtata kwelikweli lakini leo hii mtu ana
division...
SHULE ILIYOONGOZA KITAIFA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 YAONGEZEWA WANAFUNZI 207,BAADA YA HAPO AWALI KUWA NA WANAFUNZI 57.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG shule ya
kidato cha sekondari igowole iliyopo mjini iringa imeongezewa wanafunzi
takribani 207 baada ya hapowali kuwa na wanafunzi wapatao 30 kidato cha tano na
27 kidato cha sit...
Friday, 1 August 2014
NJIA TISA ZITUMIWAZO SANA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI/BODABODA SOMA HAPA KUJIEPUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu maswayetu blog leo inakuletea kitu kipya ,hizi ndo
mbinu nilizozipata kwa...
HOTUBA YA MH.RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE JULY 31 2014, KUBWA ZAIDI ALILOONGLEA NI KUHUSU BUNGE LA KATIBA LTAKALOANZA SIKU SI NYINGI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kubwa alilozungumzia ni Bunge la Katiba linaloanza tena wiki ijayo.
Ni ndefu sana naangalia namna ya kuwaletea kwa muhtasari au kuleta yote kama ilivyo
HINTS ZA HOTUBA
- Bunge la katiba linajadili RASIMU YA TUME na sio vinginevyo. Wanaosema Bunge halijadili rasimu ya...
SABABU KUBWA ZA WANAFUNZI WENGI KUKOSA MIKOPO NA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU BAADA YA KUFANYA APPLICATION
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu kwanza kabisa wakubwa mliozaliwa kuanzia 1993 mwezi wa kumi na moja kurudi nyuma Shikamooni na wadogo zangu mliozaliwa kuanzia 1994 hamjambo?
Leo napenda kuzunguzia sababu kubwa zinazowafanya wanafunzi wengi wanaooma mikopo kukosa na wale wanoomba vyuo kukosa;
Kwanza kabisa katika experience yangu niliyonayo sababu zifuatazo zinaweza kukufanya ...