Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma (watatu kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni mbili na nusu (2,500,000/-), Khatib Haji Hamis (wapili kushoto) aliyeibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya ‘CRDB Bank Ngalawa Race'...
*********************
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa za aina mbalimbali zenye viambata sumu ambazo hazikidhi matakwa ya viwango za uzito wa tani tisa zenye thamani ya shilingi milioni 400.
Akizungumza Mkuranga Mkoani Pwani kaimu Mkurugenzi,usimamizi na utekelezaji wa sheria...