Saturday, 30 April 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 1,2022

...
Share:

LATRA YATANGAZA NAULI MPYA ZA DALADALA NA MABASI YAENDAYO MIKOANI

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA imetangaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya daladala kwa wanafunzi ndio nauli iliyobaki kama ilivyokuwa. Akitangaza viwango hivyo Mkurugenzi wa LATRA Gillard Ngewe amebainisha kuwa viwango hivyo vipya vya...
Share:

MBUNGE ANASWA AKIANGALIA VIDEO ZA NGONO BUNGENI

Neil Parish Mbunge aliyenaswa akiangalia video za ngono Bungeni *** MBUNGE wa Jimbo la Tiverton na Honiton nchini Uingereza Neil Parish yupo chini ya uchunguzi kutokana na kitendo chake cha kuangalia video za ngono akiwa Bungeni. Mashuhuda wawili ambao ni wabunge wa kike wanadai walimuona Parish...
Share:

SHEIKH KABEKE AWATAKA WANANDOA WASIISHI KWA MAZOEA..."NDOA HAIZOELEKI"

Sheikh wa Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke ametoa rai kwa wanandoa kuacha kuishi kwa mazoea na badala yake kila siku waifanye ndoa kuwa kitu kipya kinachowapa furaha maishani huku wakilea familia kwa kuzingatia maadili na misingi bora. Sheikh Kabeke alitoa rai hiyo wakati akitoa nasaha kwenye kongamano...
Share:

Friday, 29 April 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 30,2022

...
Share:

BENKI YA CRDB YASHINDA TUZO MBILI ZA MASUALA YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI KITAIFA DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wanyeulemavu, Prof. Joyce Ndalichako akimkabidhi tuzo ya mshindi wa pili Sekta za Fedha katika maadhimisho ya Usalama na afya Mahala pa Kazi iliyokwenda kwa Benki Benki ya CRDB ambayo ilipokelewa na Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo...
Share:

BARRICK YAIBUKA MSHINDI BORA TUZO ZA WIKI YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI (OSHA)

Wafanyakazi wa Kampuni ya Barrick Tanzania wakifurahia tuzo walizojishindia katika maonesho ya OSHA jijini Dodoma.  ** Kampuni ya Barrick Tanzania, imeshinda tuzo nane katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ya mwaka 2022 iliyofanyika jijini Dodoma huku Mgodi...
Share:

DKT.MPANGO AWASILI NCHINI KENYA KUMUWAKILISHA RAIS KATIKA MAZISHI YA HAYATI MWAI KIBAKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 29 Aprili 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi nchini Kenya alipoenda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger