Monday, 14 June 2021

WAZIRI JUMAA AWESO AMZINGUA MKURUGENZI WA MAJI SENGEREMA..ATEUA MWINGINE

...


Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa Mkurugenzi mtendaji wa maji safi na usafi wa mazingira wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Robert Lupoja kisha kumteua Sadala Hamis kushika nafasi hiyo.

Aweso pia ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema huku taratibu nyingine zikiendelea kufanyiwa kazi.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger