Saturday, 31 August 2019

UDOM- certificate and diploma selection 2019/20- Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Udom (Cerificate na Diploma) 2019/2020

UDOM-SELECTED APPLICANTS FOR NON-DEGREE PROGRAMMES ROUND ONE FOR 2019/2020, UDOM- certificate and diploma selection 2019/20, UDOM- certificate and diploma selection 2019/20- Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Udom (Cerificate na Diploma) 2019/2020, udom third round selection, diploma in pharmacy udom, udom second selection, udom diploma courses, diploma udom 2019/2020, udom diploma...
Share:

HALMASHAURI YA BUKOBA YAKUSANYA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA MWAKA WA FEDHA 2018/2019

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Murshid Hashim Ngeze. Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Zaidi ya shilingi bilioni moja na Milioni mia tatu zimekusanywa na Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Kwa Mwaka fedha 2018/2019 ambazo ni zaidi ya asilimia 97 za mapato kwa mwaka mzima. Akizungumza...
Share:

WAHUNI WADUKUA AKAUNTI YA TWITTER YA MWANZILISHI WA TWITTER

Wadukuzi walichukua kwa muda udhibiti wa akaunti ya Twitter ya mwanzilishi na mkurugenzi wa mtandao wa kijamii wa Twitter. Kundi la wadukuzi linalojiita Chuckling Squad limedai kuhusika na udukuzi wa akaunti ya Twitter ya Jack Dorsey. Akaunti hiyo iliyo wa mashabiki zaidi ya milioni nne ilianza...
Share:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana Na Waziri Mkuu Wa Japan, Rais Wa JICA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe na kuishukuru Serikali ya Japan kwa ushirikiano inaoutoa kwa Tanzania. Amekutana na kiongozi huyo leo (Jumamosi, Agosti 31, 2019) katika hoteli ya The New Otani, Tokyo Japan. Amesema Tanzania inaheshimu...
Share:

Waziri Lugola Awataka Maafisa Uhamiaji Kuepuka Rushwa na Kutokuwanyanyasa Wawekezaji Nchini

Na Felix Mwagara, Moshi (MOHA). WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewataka Maafisa Uhamiaji nchini, kuepuka rushwa na kutokuwanyanyasa wageni na hasa wawekezaji nchini. Akizungumza katika kikao cha Maafisa Uhamiaji Waandamizi kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Uhamiaji (Trita),...
Share:

Taarifa Kwa Umma: Kuhusu Mwenendo Wa Mlipuko Wa Ugonjwa Wa Ebola Ulioripotiwa Nchi Jirani Za Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo Na Uganda.

...
Share:

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Kwa Watakaofanya Vurugu Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa

Jeshi la Polisi nchini limewatahadharisha wale wote watakaoleta vurugu wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa  na kusema watachukuliwa hatua kali za kisheria Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini David Misime, ambaye amesema kuwa watu wakifuata sheria chaguzi zote nchini...
Share:

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ afunga ndoa rasmi

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe.Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la SUGU, leo Agosti 31, 2019 amefunga ndoa na Happiness Msonga katika  Kanisa la Katoliki Ruanda, jijini Mbeya....
Share:

Jipatie Tiba ya Asili ya Ngiri, Vidonda vya Tumbo,Kisukari na Nguvu za Kiume

Super nzoka  IKEMEKO   TRDITONAL clinic ; Ni dawa ya Asili  iliyotengenezwa kwa techknojia ya kisasa na ubora wa hali ya juu    Huongeza nguvu za kiume maradufu hata kwa wale wasiojiweza kabisa kufanya tendo la ndoa na wapo abao hata wakifanya hushindwa kutoa maji...
Share:

Wanaoihujumu Serikali na Kusababisha Ndege ya Tanzania Kushikiliwa Afrika Kusini Kufunguliwa Mashitaka

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas amesema serikali itawafungulia kesi ya kuhujumu nchi watu wote watakaobainika kuihujumu serikali juu ya kukamatwa kwa ndege ya Tanzania nchini Afrika Kusini, pindi kesi iliyoplekea kukamatwa ndege hiyo itakapomalizika. Akizungumza mjini Dodoma leo Jumamosi...
Share:

KIJANA ASULUBIWA KAMA YESU KWA KUPIGILIWA MISUMARI KARIBU NA KITUO CHA POLISI

 Polisi nchini Uganda inachunguza kisa cha mwanamume mmoja aliyeshambuliwa kisha kupigiliwa misumari katika msalaba. Inadaiwa mwanaume mwenye umri wa miaka 21 alishambuliwa na watu wawili wasiojulikana Alhamisi Agosti 29,2019 kwa madai ya kuunga mkono chama tawala cha National Resistance Movement...
Share:

MBUNGE WA CHADEMA JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFUNGA NDOA

Na Godfrey Kahango, Mwananchi  Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu leo Jumamosi Agosti 31, 2019 amefunga ndoa na Happiness Msonga katika Kanisa Katoliki Ruanda jijini Mbeya. Katika misa hiyo wabunge 10 wa Chadema walihudhuria wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji...
Share:

MKUTANO MKUU WA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI 'RSA' WAFANYIKA JIJINI MWANZA

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Marlin Komba,akizungumza na Mabalozi wa Usalama barabarani Nchini.(RSA ) katika mkutano mkuu uliofanyika Jijini Mwanza Agosti 30,2019 .Picha zote na Vero Ignatus. John Seka Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani nchini...
Share:

WAZIRI MWAKYEMBE : SERIKALI IMEJIPANGA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MIUNDO MBINU YA VIWANJA VYA MPIRA

Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kumaliza changamoto ya miundombinu mibovu ya viwanja vya mpira nchini ili kuwezesha sekta ya michezo kufanya vizuri. Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison...
Share:

Mo Dewij awaomba msamaha Mashabiki wa Simba

Muwekezaji wa simba SC  Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha jinsi alivyoumizwa na matokeo mabaya ya timu ya Simba dhidi ya wapinzani wao kutoka Msumbiji UD Songo katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kutolewa mapema kwenye michuano hiyo Hii imekuja baada ya Simba kupata sare ya 1-1...
Share:

Kesi Ya Vigogo CHADEMA Yapigwa Kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,  jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani. Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti...
Share:

Watu 5 wafariki baada ya gari la dangote kugongana na gari dogo Rufiji mkoani Pwani.

Watu watano wamefariki baada ya Gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gari dogo na kupinduka kisha kuwaka moto baada ya kupoteza muelekeo na kugonga nguzo ya umeme ikaanguka na waya wenye moto ukanasa kwenye bodi ya gari hiyo ya Dangote...
Share:

Aua Mkewe Kwa kumnyonga shingo kisha kujiua kwa kunywa sumu.

Mkazi wa kijiji cha Iponya katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, Paschal Clement (32), amemuua mkewe Ashura Paschal (30) kwa kumnyonga shingo kisha kujiua kwa kunywa sumu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja jioni katika kijiji...
Share:

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi aridhishwa na miradi ya SUMA JKT Kanda ya Ziwa

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi amesema anaridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na miradi inayotekelezwa na SUMA JKT kanda ya Ziwa. Dkt. Mwinyi akiwa kwenye ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na SUMA JKT pamoja na makampuni mengine yaliyo chini ya Wizara...
Share:

Polisi Pwani Yakamata Shehena Ya Vipodozi Feki

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Albert Kiwia (45) mkazi wa Kimara Dar es salaam kwa kosa la kusafirisha shehena ya vipodozi feki mbalimbali ,kwa kutumia gari aina ya Toyota Nissan. Katika hatua nyingine, jeshi hilo limefanikiwa kukamata madumu saba ya mafuta ya...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi August 31

...
Share:

Friday, 30 August 2019

MWENDESHA BODABODA ALIYEFARIKI KWA AJALI AZUA GUMZO KUACHA WAJANE 6 NA WATOTO 30

Siri nyingi hufichuka wakati ambapo binadamu anafariki kwani licha ya kuwa ni kinyume na itikadi kumuanika aliyeaga dunia, mambo mengine hasa ya kifamilia huwa vigumu kuyaficha.  Hayo ndiyo yalifichuka baada ya dereva mmoja wa bodaboda aitwaye Hassan Mafabi (51) mkazi wa Nakatundu Kangulumira...
Share:

SANAMU TATA YA TRUMP YAZUA GUMZO

Sanamu ya mbao ya Donald Trump, iliyotengenezwa na Tomaz Schlegl, ilisimamishwa wiki kadhaa baada ya sanamu ya Melania Trump Sanamu ya mbao ya rais wa Marekani imejengwa katika nchi alikozaliwa mkewe ya Slovenia, imeibua maoni tofauti. Ikiwa na urefu wa karibu futi 26, sanamu hiyo ilijengwa katika...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger