Sunday, 30 June 2019

Chadema Watoa Tamko Tundu Lissu Kuvuliwa Ubunge

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimedai kuwa hatua ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge na kuzuiliwa kugombea Ubunge kwa miaka 5 inalenga kumzuia kutowania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu kwa mwaka 2020. Kauli hiyo ya CHADEMA imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha hicho,...
Share:

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NDANI YA CHUMBA CHA MPENZI WAKE

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta Felix Otieno  ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya nyumba ya mpenzi wake mtaani Ruiru nchini Kenya leo Jumapili Juni 30,2019. Maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha Elite Special Prevention Unit wanashirikiana na polisi kufanya uchunguzi...
Share:

MFUNGWA AJIUA KWA KUJICHINJA NA WEMBE GEREZANI

 Agustino Moshi (70), mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ubakaji, amejiua kwa kujikata mshipa wa fahamu kwa kutumia wembe akiwa ndani ya Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro. Tukio hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya Juni 25 ndani ya gereza hilo na kushuhudiwa na mkuu...
Share:

SERIKALI IRINGA YAMPONGEZA DIWANI KWA KUOKOA MAISHA YA FAMILIA ZILIZOKOSA MATIBABU

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wa pili kushoto akiwa na diwani wa Mwangata Nguvu Chengula (mwenye suti nyeusi) na viongozi wengine wakimtazama mama wa watoto watatu ambao nusuru wapoteze maisha kwa kukosa huduma ya matibabu  Na Francis Godwin, Iringa Serikali ya wilaya ya Iringa...
Share:

Mwili wakutwa kichakani umekatwa miguu, mkono na Kiuno

Mtu  ambaye hajafahamika mara moja, amekutwa kichakani akiwa amefariki dunia huku baadhi ya viungo vyake vikiwa vimeondolewa. Tukio hilo lilitokea katika kitongoji cha Nunga, Kata ya Ngogwa wilayani Kahama baada ya wananchi kuukuta mwili huo ukitoa harufu, huku viungo kama mkono, sehemu za siri...
Share:

Unahitaji Kufanya Service ya Gari Weekend Hii? Je wewe ni Mmiliki wa Gari? Ni Fundi Magari au Muuza Spea? ...Hapa Tunahabari Njema Inayokuhusu

Habari njema kwa wamiliki wa Magari, mafundi na Wauza Spea za Magari. EDRIVE PRO wamekeletea mfumo ambao unawaunganisha pamoja na pindi gari lako likiharibika popote ulipo hutapata tena tabu ya kuhangaika kutafuta fundi au maduka ya spea www.edrivepro.co.tz ni mfumo wa kufanya na kusimamia utengenezaji...
Share:

Gavana Shilatu Ashangazwa Na Diwani Kutofuatilia Upatikanaji Wa Mikopo Ya Vijana, Wanawake Na Walemavu.

Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amembana Diwani wa Chama Cha Wananchi (CUF) Kata ya Mkoreha Mhe. Ahmad Ally Ndende juu ya utolewaji wa mikopo ya Halmashauri kwa Vijana, Wanawake na Walemavu ili kuwakwamua Wananchi kiuchumi. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano na Wananchi...
Share:

Waziri Kamwelwe Atoa Kauli Nzito Baada Ya Mgomo Bandarini

Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ametishia kuzinyima leseni kampuni tatu zilizoomba leseni kwa ajili ya kuendesha bandari kavu(ICDS) kwa tuhuma za kuhamasisha mgomo wa malori bandarini. Wamiliki wa kampuni hizo wanatuhumiwa kuhamasisha madereva wa malori yanayotoa...
Share:

Polepole Awapa Makavu Wanachama CCM....."Usitumie uongozi kama mali yako"

Katibu  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Humphrey Polepole amesema ugonjwa mkubwa ndani ya CCM ni ubinafsi na kuwataka kuacha kupendekeza wagombea ambao wananchi hawawataki. Aidha aliwataka viongozi wa chama wakiwemo mabalozi wa nyumba 10 kuacha kupanga safu za watu...
Share:

Donald Trump Kawa Rais wa Kwanza wa Marekani Kukanyaga Ardhi ya Korea Kaskazini Leo....Tazama Picha

Rais Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini. Trump amekutana leo na Kim Jong-un, kiongozi wa Korea Kaskazini katika mpaka usiokuwa wa kijeshi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini, ambapo Trump amevuka mstari wa mpaka huo na kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini. Baada...
Share:

Trump na Xi wa China wakubaliana kusitisha uhasama wao kibiashara

Rais wa Marekani Donald Trump, leo amesifia mazungumzo kati yake na rais wa China Xi Jinping na kuyataja kuwa mazuri kuliko yalivyotarajiwa, na ameahidi kusitisha kuongeza ushuru kwa bidhaa za China wakati mazungumzo kati yao yakiendelea.  Siku moja tu baada ya mazungumzo yao mjini Osaka Japan,...
Share:

Wadau mkoani Njombe watoa msaada kwa mahabusu na wafungwa

Na Amiri kilagalila-Njombe Shirika lisilo la kiserikali la Njombe youth development organization (NJOYODEO) kwa kushirikiana na umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) mkoani Njombe wamewatembelea wafungwa na mahabusu katika gereza la mkoa mpechi  na kutoa msaada  ikiwemo mashuka na mablanketi ...
Share:

Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Azindua Baraza La Wafanyakazi Hospital Ya Benjamin

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Taasisi ya Hospitali ya Rufaa ya  Benjamin mkapa imefungua na kuzindua Baraza jipya la wafanyakazi  tangu hospitali ianzishwe  ambayo ni miongoni mwa hospitali kubwa hapa nchini.  Akizungumza katika uzinduzi  huo,na wafanyakazi  wa Baraza...
Share:

Waziri Kairuki Autaka Uongozi Wa KNAUF Kuendelea Kushirikiana Na Jamii Inayowazunguka.

NA.MWANDISHI WETU – OWM Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuka ameutaka uongozi wa kiwanda kinachotengeneza bidhaa za cha za jasi (Gypsumboard) cha KNAUF kuendelea kushirikiana na jamii inayowazunguka katika kujiletee maendeleo. Ametoa kauli...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili 30 June

...
Share:

DPP Akabidhi Madini, Vito Na Fedha Benki Kuu (BOT ) Zilizotokana Na Kesi Za Uhujumu Uchumi.

Jumla ya madini yenye thamani ya Sh.3,125, 704,456.12 yamekabidhiwa kwa Serikali kupitia Hazina baada ya kutaifishwa kutokana na kubainika yalikuwa yanatoroshwa nchini. Mbali na kukabidhiwa madini na vito, pia Serikali imekabidhiwa fedha za kigeni ambazo nazo zimetaifishwa. Akizungumza wakati wa...
Share:

Rais Mstaafu Mkapa Mgeni Rasmi Uzinduzi Maadhimisho Ya Miaka 20 Kuelekea Miaka 25 Tangu Kuanzishwa Kwa Chuo Kikuu SAUT

Na Eleuteri Mangi- SAUT Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Mkapa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 20 kuelekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT). Kwa mujibu wa Makamu wa...
Share:

Saturday, 29 June 2019

TASAC: TUNAFANYA UKAGUZI WA MELI KUHAKIKI UBORA NA KUVIONDOSHA VISIVYOKUWA NAVYO MAJINI

Meneja wa Usajili,Ukaguzi na Udhibiti wa Usalama wa Vyombo vya maji Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) Afred Waryana akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa warsha hiyo Meneja wa Usajili,Ukaguzi na Udhibiti wa Usalama wa Vyombo vya maji Shirika la Wakala wa Meli...
Share:

MKUU WA MKOA AMTAKA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MBULU NA TIMU YAKE WAJITAFAKARI

...
Share:

MNYETI: SINA NIA YA KUMDONDOSHA YEYOTE

...
Share:

Waziri Mkuu: Ujenzi Wa Nyumba Bora Waongezeka

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kaya zinazoishi kwenye makazi bora zimeongezeka kwa asilimia 16 katika kipindi cha miaka sita ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka 2011/2012. “Kaya zinazoishi kwenye nyumba zenye paa la kisasa zilizoezekwa kwa bati zimeongezeka kutoka asilimia 68 mwaka 2011/2012...
Share:

Serikali Yadhamiria Kuimarisha Huduma Kwa Watu Wenye Ulemavu

Na; Mwandishi Wetu Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa kushirikiana na wadau imedhamiria kuboresha huduma na upatikanaji wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu. Akizungumza wakati wa hafla ya kupokea vifaa saidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu iliyoandaliwa...
Share:

PICHA: Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

Credit: Jamii Forums...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger