Baada ya kuipata stori ya Mbunge Viti Maalum CCM Agness Marwa ambaye ni
mmoja kati ya Wabunge walioweza kuingia kwenye headline kwenye mitandao
mbalimbali nchini haswa baada ya tukio lake la kuchangia hotuba ya
Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Bunge la 11. Na ni
baada ya kutoa kauli ya kutotaka Bunge kurushwa Live.
Nakukutanisha na hii Part Two ya mahojiano yake aliyofanya huku ishu kubwa ikiwa ni CV yake inayosambaa kwenye mitandao….
0 comments:
Post a Comment