Jumapili
ya Leo Mei 15 ya 2016, Mtandao Huu, Unaungana na mkali wa
muziki wa bongo fleva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange
katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Dayna Nyange anayetamba na
wimbo wake wa sasa wa Angejua leo hii ametimiza umri wa miaka kadhaa
tangu kuzaliwa kwake.
Mtandao Huu unakutakia maisha marefu yenye kheri na baraka tele mrembo wetu wa nguvu.
0 comments:
Post a Comment