Friday, 20 June 2014

JAMAA AJINYONGA KWA KUKOSA KODI YA CHUMBA-SOMA HAPA


Marehemu Geofrey Ndibalema (41), mkazi wa Tandika jijini Dar aliyejinyonga kwa kukosa kodi ya chumba.
Share:

Thursday, 19 June 2014

Marehemu Kanali(mstaafu) Ally Hassan Mwanakatwe aagwa Lugalo

Kanali Ally Hassan Mwanakatwe alizaliwa tarehe 05 Julai, 1949 katika Kijiji cha Dareda, Kata ya Dareda, Tarafa ya Dareda, Wilaya ya Babati katika Mkoa wa
Share:

UTARATIBU WA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza 
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014 ambao 
waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013

Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai 2014
 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa 
shule walizopangiwa, hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
 inavyoonekana katika matokeo haya.
Share:

MUME WA FROLA MBASHA APEWA DHAMANA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akipelekwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar.
Share:

AGNESS MASOGANGE USO KWA USO NA CORAZON KWAMBOKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Daah NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa  hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na Masogange kutoka hapa 255.
Share:

FOLENI DAR:YASABABISHA AMBUNGE KUPANDA BODA BODA



Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO

1_05e58.jpg
Share:

TANZANIA YAGUNDUA GESI NYINGINE.


gas_4dbed.gif
Dar es Salaam. Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi nchini Tanzania.
Share:

Wednesday, 18 June 2014

MPYA:SOMA TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO HAPA

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza 
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014 ambao 
waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai 2014
 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa 
shule walizopangiwa, hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
 inavyoonekana katika matokeo haya.
Share:

ANGALIA TIMETABLE YA LIGI KUU YA UINGEREZA 2014/2015,ITAKAYOANZA 08/16/2014

Share:

ANGALIA MAGAZETI YA LEO'MWANANCHI,MTANZANIA,TANZANIA DAIMA,MAJIRA,NIPASHE NA MENGINE MENGI HAPA

1_5597b.jpg
2_b5590.jpg
3_c77d9.jpg
Share:

ANGALIA MAJINA YA WAVULANA WANAOENDA FORM V,KUANZIA A-L



S/NEXAM NO.JINA LA MWANAFUNZISHULE ATOKAYOSHULE AENDAYOMASOMO
1S2332/0019David  Kemhe Aaron Harris Mwika EGM
2S2332/0024Nelson  Luziga Aaron Harris Azania PCM
3S2332/0026Venance Partson Edward Aaron Harris Magu PCB
4S3470/0001Abdul-aziz Hamisi Mputeni Abbey Mtwara Tech PCM
5S3470/0002Augustino Albert Mlangira Abbey Pugu PCM
6S3470/0003Barnabas Modest Missana Abbey Moshi Tech PCB
7S3470/0004Benard Beneth Nkabalema Abbey Lugoba PCM
8S3470/0005Boubleen Gabriel Ndekemio Abbey Pugu PCB
9S3470/0006Brian Dastan Meela Abbey Azania ECA
10S3470/0007Charles Rashidi Madeni Abbey Mtwara Tech PCM
11S3470/0008Chilavi Hamisi Chilavi Abbey Kahororo EGM
12S3470/0009Christopher Ezekiel Sizya Abbey Kigonsera PGM
13S3470/0010Cornel Alico Mwakalobo Abbey Nyerere  Migoli EGM
14S3470/0011Daudi Julius Kamata Abbey Kibaha PCM
Share:

Tuesday, 17 June 2014

HAYA HAPA MAJINA YA WASICHANA, NA WAVULANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014

YAFUATAYO NI MAJINA YA WASICHANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014
Share:

SELECTION KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA ,WANAFUNZI 54,085 WACHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014

Naibu Waziri Tamisemi, Kassim Majaliwa

Wanafunzi 54,085 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu wa 2014, taarifa hii imetangazwa na N/Waziri tamisemi (Elimu) Kassim Majaliwa leo. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti tarehe 10 Julai, 2014.
Share:

MWANAMAMA HUYU ACHARANGWA MAPANGA BAADA YA KUVAMIWA NA KIJANA MMOJA,AMBAE NAE AUWAWA





Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Jumanne Joel(25-30) ameuawa na
Share:

TUMWONEE HURUMA BINTI HUYU KADAIWA KUBAKWA NA BOSI WAKE SIKU 4 MFULULIZO BAADA YA KUANZA KUFANYA KAZI

Mfanyakazi wa ndani, miaka 14 mkazi wa kijiji  cha Mdenge, Kata ya Likombe katika Wilaya ya Mtwara, amebakwa na mwajiri wake usiku wa kuamkia jana na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea kusikojulikana.   
Share:

ANGALIA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA SEKRETARIETI YA AJIRA DAR TAREHE 14-06-2014

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 14-06-2014
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kufika muda, tarehe na mahali kama ilivyo onesha kwenye ratiba yetu ya usaili, wakiwa na vyeti halisi (ORIGINAL CERTIFICATES)
ACCOUNTANT GRADE II
EXAM NUMBER     SCORE REMARKS

PSRS-MDA-ACC-727    95    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-962    95    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-916    94    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-766    93.5    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-702    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-734    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-810    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-948    91    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-847    90    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-899    90    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-743    88    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-988    87    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-779    85    SELECTED
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger