Nigeria yaridhika na sare tasa dhidi ya Iran
Timu ya Iran na Nigeria zilitoka
sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba,
kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.
Timu hiyo ya Carlos Queiroz ilionekana kuwa ngumu kushindwa tangu mwanzoni.




