Zikiwa zimebakia siku 9 kuelekea uchaguzi wa serikali ya wanafunzi sua,baadhi ya vijana wameonekana wakichukua fomu za uongozi wa nafasi mabalimbali;zikiwemo nafasi za ubunge na urais wa chuo.
Uchaguzi huo utahusisha kampasi mbili MAZIMBU na MAIN CAMPUS.