Friday, 6 June 2014
RATIBA-KOMBE LA DUNIA 2014
AIBU AIBU:PICHA ZA MBUNGE JOHN KOMBA AKIMLA URODA BINTI ZASAMBAA MTANDAONI,CHEKI HAPA
Thursday, 5 June 2014
BIASHARA YA UKAHA BA SASA MWISHO-POLISI WAJIPANGA
Idara ya
Uhamiaji nchini Tanzania imegundua maficho ya wasichana waliosafirishwa
kutoka nchi za India na Nepal mjini Dar es Salaam ambao wanatumikishwa
katika biashara zisizo halali katika maeneo mbalimbali jijini humo.
WAZIRI WA AFYA APATA CHANGAMOTO KUBWA
Wabunge
wanawake bila kujali itikadi za vyama juzi usiku waliungana kuibana
Serikali wakishinikiza iongeze fedha za Bajeti ya Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii ya mwaka 2014/15 ili kukabiliana na vifo vya kina mama
na watoto.
Wednesday, 4 June 2014
ANGALIA MWANAMITINDO HUYU ATOA FASHENI MPYA INAYOONESHA "UKE WA MWANAMKE"
kweli dunia ya urembo lakin hii lol...this is too much...
NAULI DALADALA: DAR YAPANDA TSH 800
atimaye picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.
DEVOTHA ATOA WOSIA WA KIFO CHAKE
UKATILI WA KUTISHA!!..MTOTO AUWAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA PUANI...ZICHEKI PICHA HAPA!!
Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani.