Friday, 17 March 2023

BODABODA KAWE YAFIKIWA NA MERIDIANBET

...
Bodaboda ni moja ya kazi inayotegemewa na kundi kubwa sana la vijana kwa sasa mjini na vijijini, lakini moja ya sababu inayokatisha ndoto za wengi ni ajali na ndio maana Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujikinga na ajali.

 

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu aliongozana na kamanda wa polisi Kawe na Mbweni Inspekta Alex Duguza katika zoezi hilo la wiki ya nenda kwa usalama katika, pamoja na timu nzima ya Mabingwa wa kutoa odds kubwa za ubashiri kwenye maduka ya ubashiri ambapo wanakupa nafasi ya kubashiri mubashara pia, katika zoezi hilo hili lilikuwa ni neno lake.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

 

“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”

 

Inspekta Duguza alitoa elimu kwa bodaboda na kuishukuru pia kampuni ya Meridianbet kwa kuwashika mkono vijana hao.

 

“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.

 

 

Akiwakilisha kundi kubwa la Bodaboda moja ya Dereva aliyefahamika kwa jina la Kelvin Mdosokile alisema, Meridianbet wamefanya kitu kikubwa kutahamini juhudi zao na kazi yao ambapo makampuni mengine waige mfano huo.

 

“Kama ambavyo wanatoa huduma bora za ubashiri kwa kutoa odds kubwa, machaguo 1000+ na kasino ya mtandaoni, hiki walichokifanya ni kuthamini kazi yetu, makampuni mengine tunayomba yaige mfano wa Meridianbet mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni” Kelvin

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

 

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= 

PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger