Tuesday, 16 February 2021

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI

...

Aron Kagurumjuli

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aron Kagurumjuli na kwamba uteuzi wa mkurugenzi mwingine wa manispaa hiyo utafanywa baadaye.

Kagurumjuli aliteuliwa na Magufuli Julai 7, 2016 siku ambayo kiongozi huyo aliteua wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya 137 za Tanzania Bara.



Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger