Thursday, 11 February 2021

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ATEMBELEA NEC

...

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akifafanua jambo kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akimweleza jambo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC).
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger