Friday 21 November 2014

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha na uhifadhi. Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori (WMA,s) Tanzania. WAJIBU NA MAJUKUMU Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili. SIFA NA UZOEFU. waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama ifuatavyo:- • Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika miwili (2) • Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi. • Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai. • Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua pepe: infor@honeyguide.org au anuaani ifuatayo. Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation, S.L.P 2657 ARUSHA. CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 19,NOVEMBA 2014

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la".
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…
Share:

Thursday 20 November 2014

MPYA:ANGALIA NA DOWNLOAD VIDEO MPYA YA DIAMOND-NITAMPATA WAPI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BONYEZA HAPA KUDOWNLOADBONYEZA HAPA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND
Share:

Sunday 16 November 2014

MPYA:COLLEGE YA ENGINEERING SUA WAFANYA BONANZA,2ND YEAR WACHUKUA KOMBE BAADA YA KUWAFUNGA 3RD YEAR FAINALI KWA MIKWAJU 4-1

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MASWAYETU BLOG chini ya mmiliki halali INNOCENT THE BLOGGER BOY  ilikuwa makini kukuletea matukio yote ambapo
Walioshikilia nembo hiyo iliyoandikwa COLLEGE OF ENGINEERING kutoka kushoto ni ENG.STIMA na wa kulia ni ENG.Maulid

Share:

MPYA:HUYU NDIE MHITIMU BORA WA UDSM MWAKA 2014,ANA MIAKA 22,GPA YA 4.8

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.

Photo: Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.

Unalipi la kumwambia Mwanafunzi huyu?
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFANIKIWA KUHAMA VYUO NACTE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
PUBLIC NOTICE TRANSFERS OF SELECTED APPLICANTS ON
 BACHELOR PROGRAMS

                                       

The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline
 for transfers (applications and allocation to new institutions) was on 3rd November 2014. 
A list of students showing new allocations as per their applications has been posted in/on the NACTE website. Find attached file for list of successful transfers applications

NOTE:
If your name does not appear in the list it means that your application was unsuccessful.
LIST OF SUCCESSFUL TRANSFERS


SOURCE: NACTE  UKITAKA KUANGALIZIWA NICHEKI 0768260834
Share:

Saturday 15 November 2014

MAGAZETI YA LEO NOV 15/2014 UDAKU,MICHEZO NA KITAIFA,KUBWA ZAIDI WABUNGE WAITAKA SERIKALI, MKURUGENZI WA DAR ANG'OLEWE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY




.
.
Kama kawaidaMASWAYETU BLOG  inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo
.
earn money at>>>.http://adf.ly/?id=8277510
Share:

MPYA:MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya kumpongeza.
Share:

Friday 14 November 2014

BREAKING NEWZ:WALIOCHAGULIWA UDOM SPECIAL PROGRAMME KUSOMESHWA BURE HATA KAMA HUKUJAZA FORM ,UNATAKIWA KUWAHI CHUO MAPEMA ILI UJAZE FORM YA MKOPO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYslide5
TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAHADA MAALUM YA ELIMU KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI CHUO KIKUU CHA DODOMA
Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Stashahada Maalum ya Elimu kwa masomo ya Sayansi na Hisabati kuwa usajili umeanza tangu tarehe 8/11/2014 na wanatakiwa kuzingatia  yafuatayo;
1.    Wanafunzi wote waliochaguliwa wanafursa ya kupata mkopo wa kugharamia masomo yao kwa asilimia mia moja (100%)
Share:

Wednesday 12 November 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE NA WIZARA YA AFYA 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                       
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA   PAUL(UFADHILI AFYA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA.

KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Monday 10 November 2014

HAPPY BIRTHDAY BROTHER MDUMA,MUNGU AKUJALIE MIAKA MINGI TELE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 09/10/2014 ambapo brother Mduma alikuwa na furaha ya ajabu baada ya kuzaliwa upya
                               
,na kuamua kufanya sherehe kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa hata mie mmiliki halali wa blog hii pendwa ya MASWAYETU nilikuwapo.
MASWAYETU BLOG hatukuwa mbali na tukio na tulifanikiwa kuchukua matukio muhimu katika birthday hiyo.
Share:

MPYA:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOHAMISHWA MWEZI OCTOBER 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TANGAZO:

                                   
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina ya watumishi
wa Umma waliohamishwa kwa VIBALI MAALUMU MWEZI OCTOBER 2014
katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini.
Aidha orodha ya watumishi waliohamishwa katika uhamisho wa kuanzia
Mwezi Feburuari 2012, Juni 2012, Desemba 2012, Juni 2013 na Desemba 2013

Share:

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA N A JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                               
                                
Habari yenu wadau wetu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG,elo tumewaletea majina ya  Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi baada ya usaili kukamilika,MASWAYETU BLOG tunaendela kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo unataka kujua kama umechaguliwa ;
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili kwenda namba 0768260834
    mfano.John paul(polisi 2014)

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utailipia
   kwa mpesa na tigo pesa  kwenda namba   
   0768260834,na tigo pesa 0653791475 .

3.Hutajibiwa hadi utume pesa ya huduma.
4.Tutakujibu ndani ya mda mfupi mara tu tutakapopokea pesa yako.
Maelekezo Muhimu.
Share:

Saturday 8 November 2014

BREAKING NEWZ:UCHAGUZI MKUU TANZANIA FOOD AND NUTRITION STUDENTS ASSOCIATION(TAFONUSA) UMEMALIZIKA NA KUFANIKIWA KUPATA VIONGOZI WAPYA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha SOKOINE  departiment ya FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY mapema leo hii wamefanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi watakaoongoza chama hicho mwaka wa 2014/2015.
Katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi tano zilizigombaniwa ambazo ni MWENYEKITI,MAKAMU MWENYEKITI,MWEKA HAZINA NA KATIBU,na kufanikiwa kupata viongozi wapya wafuatao;
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA HN NA FCS KATIKA PICHA YA PAMOJA

Share:

Thursday 6 November 2014

MPYA:MOJA YA KIKAO CHA FOOD SCIENCE AND TECHNLOGY -SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE WAKIJADILI JAMBO

Mapema leo hii kulikuwa na kikao cha vijana wenye heshima ya pekee NCHINI HAPA TANZANIA vijana wa chuo cha KILIMO SOKOINE wanaosomea SAYANSI YA CHAKULA,Kuhusu mamabo yanayowahusu kama darasa,kilichofanyikia departiment ya ENGINEERING mnamo mida ya saa tisa arasili,na kujumuisha wajumbe takribani 98,mwaka wa pili na wa tatu.
MASWAYETU BLOG hatukuwa mbali kuwaletea matukio ya picha zote katika kikao hicho angalia picha hizo hapo chini;
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WAKUUWA MIKOA NA WILAYA WAPYA NA MIKOA/WILAYA WALIZOPELEKWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa mikoa na makatibu wakuu wa wizara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine.
Share:

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YAONGEZA MAJINA MENGINE MENGI YA KIDATO CHA NNE WATAKAOJIUNGA SPECIAL PROGRAMME UDOM 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
slide5
Habari yenu,chuo kikuu cha dodoma kimetangaza majina ya wanafunzi wengine watakaojiunga na mafunzo ya ualimu special programme udom mwaka wa masomo 2014/2015,hata hivyo zimebaki takribani siku mbili tu vijana hao waanze masomo yao,hivyo basi MASWAYETU BLOG TEAM tunakuomba wape taarifa vijana wote walioombaudom lakini hawakubahatika kupata nafasi hiyo hapo awali kuwa yawezekana wamechaguliwa;
Maswayetu blog tunaendela kutoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote watakaohitaji kuangaliziwa kama wamechaguliwa kujiunga na chuo hicho katika special programme hiyo,ILI KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;

1.TUMA JINA LAKO NA EXAMA NAMBA.

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TU AMBAYO
   UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA 0768260834
   AU TIGO PESA KWENDA NAMBA 0653791475

3.TUTAKUJIBU MARA TU TUTAKAPOPOKEA PESA
   YAKO.


KUANGALAIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:

Wednesday 5 November 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                       
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA PAUL(UFADHILI
  AFYA)

2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HDAI UTUME PESA.
KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger