
Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli zao kwa mujibu wa Sheria na kanuni za baruti zilizopo.
Mkaguzi Mkuu wa Migodi Mhandisi Hamisi Kamando amesema hayo ,Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi kilichowakutanisha...